Kuhusu hii course "Locomotive engineering in diesel electrical"

Kuhusu hii course "Locomotive engineering in diesel electrical"

Wakwibhala

New Member
Joined
Jul 17, 2022
Posts
2
Reaction score
2
Habari wadau;

Kuna Mdogo wangu alichaguliwa hii course "LOCOMOTIVE ENGINEERING IN DIESEL ELECTRICAL" Diploma Chuo cha reli hapo Morogoro.

Naomba mwenye uzoefu au taarifa muhimu na hii course interm of marketability hasa akimaliza chuo na mambo mengine ya msingi.

Kama Vipi nione namna gan ya kumshauri au kubadilisha course
NB.Dogo katokea form four.
 
Mwache asome hyo kozi,inatolewa chuo kimoja tu nacho ni TIRTEC MOROGORO,ni chuo kilicho chini ya TRC na akimaliza hapo ana possibility kubwa ya kuajiriwa kama Engineer wa Locomotives(vichwa vya treni)ongezeko na maboresh0 ya sekta ya reli si unaona lkn?
 
Back
Top Bottom