Uhakika wa kazi
Dogo chuo hakiajiri kasome kama ni tanesco utaenda popote nchiniUhakika wa kazi
Nenda electrical kama ulivo panga ,,,civil na mechanical hata chuo tuliwazoea Utasikia hizi ndo Kozi ngumu Sasa sijue ugumu ndo hela wanaimba taarabu sana haoSawa Kaka nimekuelewa Ila kuna watu wamesema kuna mechanical engineering vp kuhusu hiyo
Sawa Ila ningependa kujua Zaid pia uhakika wa kazi
Mdogo wangu nakuonea huruma!! Usisome kitu kwa sababu kina ajira au hakina! Soma kitu unapenda hata kikiwa hakina ajira miaka ijayo bado hutajuta!! Kwa serikali hii ya sasa mawazo ya ajira futa kabisa....soma upendacho hayo ya ajira hayana msingi sana dogo!Samahani kaka na ajira zinapatikana kwenye electric
Kizuri kuliko DIT au naomba kujuaMbeya Must
DIT,MUST au ATC vyote bomba!Na vipi kuhusu chuo kizuri mimi nipo na vyuo Vinne mkononi kuna ATC DIT ST. JOSEPH UNIVERSITY Na must kip kizuri
Nenda mbeya technical think is the best among the best in Tanzania.Jamani naombeni ushauri mimi nimemaliza form four 2016 nimepata division two nataka kwenda chuo kuchukua diploma ya electric engineering.
Je ni chuo gani ni kizuri kwa electric engineering na pia je ni engineering ipi itakuwa na soko pana la ajira baada ya miaka mitatu.
Kwanini samahaniWe Bwana mdogo hueleweki nini unataka kabisa yani unauliza kazi ile hali hata Admission hujapata kama unataka ajira za direct nenda unesi/udakatari au Ualimu mana naona uhandisi haukufai kabisa na utaliwa kichwa mapema ukienda Technical colleges
Wewe unafahamu sana! Hongera! Mie nimepiga umeme DitMkuu hongera kwa kutamani Uhandisi , Je kwenye zile fomu za o level First priority uliweka Technical colleges kama uliweka ivo utakuwa selected Direct na serikali wata ku sponsered ila kama uliweka advance first priority na ukawa selected huko then uombe nacte kwenda Technical colleges basi utakuwa private sponsored itajitegemea kila kitu, Vyuo Vya uhandisi kwa Ngazi hio vinajulikana mbona na curriculum zao zina fanana fanana ni Arusha Technical colleges (ATC), Dar es salaam institute of Technology (DIT), na mbeya university of science and technology ( MUST) Vyote viko bomba na nakushauri kama unaupenda Umeme ww usome tu unalipa Course nzuri ni Core course kama Eletrical, Civil na mechanical ziko poa sana ingine ni AutoElectric and Biomedical Equipment engineering kwa dit na kwa ATC ni Electrical and Biomedical engineering
Nenda wizarani ukabadilishe au kama huwezi tuma mtu aende kabla hawajatoa selection watakupeleka chuo badala ya A level.Nilijaza advance lakini naona ni vizuri kwenda chuo na nipo tayari kulipa Ada yoyote Ile