Naombeni ushauri chuo kizuri kwa diploma ya electric engineering

Naombeni ushauri chuo kizuri kwa diploma ya electric engineering

We Bwana mdogo hueleweki nini unataka kabisa yani unauliza kazi ile hali hata Admission hujapata kama unataka ajira za direct nenda unesi/udakatari au Ualimu mana naona uhandisi haukufai kabisa na utaliwa kichwa mapema ukienda Technical colleges[/QUOTEn
kaka naomba unijuze vipi kuhusu ada dit ni kiasi gani kwa wale wa indirect entry
 
kaka naomba unijuze kuhusu ada za dit kwani mimi kama nisipo pangwa nitaenda kwa indirect
 
Ada elekezi kwa vyuo vyote vya ufundi ngazi ya diploma kwa private sponsored ni 850k Excluding meal wala accommodation hio tuition fees tu bila direct cost, ukichanganya ingonga 1 m na point ivi huku unajitegemea kila kitu from Meal, accommodation na IPT, ila government sponsered fees ni kama 150K sambamba na michango mingine ni kama 320K huku ukipewa kila kitu kuanzia meal, Accommodation na IPT
 
na utaratibu hadi niweze kujiunga
Kuna mdau kakushtua Upeleke maombi wizarani Mapema before selection ili upate ufadhili moja kwa moja wa serekali wakati post zinatoka ww utatupiwa Technical, Zote ziko poa sio DIT au ATC wala MUST ziko njema zote ikikosa hio post ya direct subiri mwezi wa tano Baraza la Ufundi NACTE kupitia Central admission system (CAS) Watafungua Dirisha la maombi utajisajili na kujaza course tatu utakazo na Vyuo after all Utangoja selection Muda wa kufungua ivo vyuo ni Mwezi wa kumi
 
Soma civil au mechanical engineering, electrical haina issue imeingiliwa na watu veta mno

mtu wa vetaa ana nafasi yke na technician ana nafasi yake....kwa mimi nmemaliza mwaka juzi diploma electrical wote tumepata kazi lakini kuna baadhi ya civil mpk leo wana randa randa
 
mtu wa vetaa ana nafasi yke na technician ana nafasi yake....kwa mimi nmemaliza mwaka juzi diploma electrical wote tumepata kazi lakini kuna baadhi ya civil mpk leo wana randa randa
Hapo mwenye diploma si anakuwa juu ya yule wa veta au nimekosea
 
Mkuu hongera kwa kutamani Uhandisi , Je kwenye zile fomu za o level First priority uliweka Technical colleges kama uliweka ivo utakuwa selected Direct na serikali wata ku sponsered ila kama uliweka advance first priority na ukawa selected huko then uombe nacte kwenda Technical colleges basi utakuwa private sponsored itajitegemea kila kitu, Vyuo Vya uhandisi kwa Ngazi hio vinajulikana mbona na curriculum zao zina fanana fanana ni Arusha Technical colleges (ATC), Dar es salaam institute of Technology (DIT), na mbeya university of science and technology ( MUST) Vyote viko bomba na nakushauri kama unaupenda Umeme ww usome tu unalipa Course nzuri ni Core course kama Eletrical, Civil na mechanical ziko poa sana ingine ni AutoElectric and Biomedical Equipment engineering kwa dit na kwa ATC ni Electrical and Biomedical engineering
Nashukuru kwa kumpa ushauri mzuri ila kwa fani ya Autoelectrcal au Biomedical ni shida mtaani zina fursa chache sana za ajira so kwa mimi nakushauri komaa na Electrical ni nzuri sanaaaa
 
usidanganye watu, mm nilihama civil nikahamia electrical pale ATC na soon baada ya kumaliza chuo member wote wa electrical tulipata kazi easly na rafiki zangu waliokuwa civil waliishia kukaa kitaa for a while
Hivo ni vile venye we unaona, by the way ingekua mm ningemshauri tu akasome civil mie ndugu yangu nimemaliza diploma mwez wa nane mwaka jana sijakaa hata wiki nimepata kazi mpunga mrefu tu life linasonga na wenzangu kibao wapo na vichaka lands wachache waliounga bachelor!!
 
Na wew unasomea electric hiyo hiyo
nαkuѕhαurí ѕσmα єlєctrícαl αnd вíσmєdícαl єngínєєríng pαlє αtc αruѕhα αu dít dѕm....hαutσjutα kuѕσmα hчσ kítu, mm nímєѕσmα cívíl lkn huwα nαtαmαn ѕαnα níngєѕσmα hчσ kítu
 
Nashukuru kwa kumpa ushauri mzuri ila kwa fani ya Autoelectrcal au Biomedical ni shida mtaani zina fursa chache sana za ajira so kwa mimi nakushauri komaa na Electrical ni nzuri sanaaaa
lαвdα αutσєlєctєícαl lkn ѕíσ вíσmєdícαl...вíσmєdícαl hαíjαwαhí ѕumвuα mtααní mkuu
 
Back
Top Bottom