Naombeni ujanja wa kutambua simu fake

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,880
4,508
Habari za mida wadau.

Nimewahi kuleta uzi hapa nikiomba ushauri aina gani ya simu nzuri,Nashukuru nilipata mwanga wa kuelewa mambo mengi.

Baada ya kuzurula mikoani sasa nipo Dar na kesho mapema naenda k/koo kwa ajili ya kununua simu mpya.

Naombeni mnipatie ujanja wa kutambua simu fake hasa simu za Samsung (Refurbished).

Asanteni sana.
 
Sawaa
Baada ya kupiga hivyo Simu Original itadisplay vitu hivi hapa

*red green blue
*receiver vibration dimming
*mega cam sensor touching
*sleep speaker subkey
*front cam LED IRLED
Nk vichache vilivyobakia

#Wanaotumia Samsung
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Chukua IMEI NUMBER
Tuma 15090 Number Ya TCRA
Halafu Wao Watakwambia Aina Ya Simu Uliyoiona Kama Ni Original/Fake. Inachukua Sekunde Chache

Jaribu Hata Simu Uliyoishika
 
Nenda kanunue kwa authorised dealers wa samsung, au tigoshops, vodashops n etc.

hayo ya kuweka codes kukagua yote yanachakachulika.

Inaweza ikawa fake ikabadilishwa imei number ikawekwa ya simu original.
 
Mmmmmh
 
😂😂😂 wahuni sio watu wazuri, hakuna kinachoshindikana town
 
Kama fake ita display nini mkuu?
Sijui Simu fake itadisplay nini,
Kwa Original phone kuna'test ya kila kila kimoja wapo pale kuanzia rangi mpaka LED

Na kwenye kutest Sensors upande juu kulia kwenye screen ya simu yako, kuna icon ya image test hapo utapata kuona picha ya Sungura. Hio ndio Common way of testing Samsung kwa walio wengi.

It may seems to be silly kwa wasio jua, ndio confirmation test of Original Samsung mobile phones, even if it's a second hand

Asante mkuu
I appreciate that.
 
Tatizo linakuja kuwa watu utaalamu wa kujua simu kuwa ni fake au sio fake! Kujifanya wajuaji wakati hawa jui.
Ukiona ujui nenda kwa mtu unaye muamini kama ndo mwenye duka,mfanyabiashara wa simu,fundi wako.

Utanishukuru ili hata kesho ukienda china usiende na mkeo nenda na mtaalamu hili kujua kipi kizuri na bora
 
Hatujawahi kua na mifumo madhubuti mkuu niko na simu apa redmi note 10 imei zote mbili naambiwa mzigo hautambuliki, niliwahi jaribu tena miez iliopita kwa nokia tochi moja jib lilikua ni hilo
Screenshot_2021-07-01-15-41-25-387_com.google.android.apps.messaging.jpg

Chukua IMEI NUMBER
Tuma 15090 Number Ya TCRA
Halafu Wao Watakwambia Aina Ya Simu Uliyoiona Kama Ni Original/Fake. Inachukua Sekunde Chache

Jaribu Hata Simu Uliyoishika
 
Penda kuangalia review za simu hyo YouTube. Ukiangalia hzi reviews utaijua hyo simu na ikiwa fake itaitambua tu. Hii ndio njia ya uhakika
 
Hatujawahi kua na mifumo madhubuti mkuu niko na simu apa redmi note 10 imei zote mbili naambiwa mzigo hautambuliki, niliwahi jaribu tena miez iliopita kwa nokia tochi moja jib lilikua ni hiloView attachment 1836777
Ukifanya verification kwa kutumia link yao inakupa majibu sahihi zaidi kuliko SMS.
 
Chukua IMEI NUMBER
Tuma 15090 Number Ya TCRA
Halafu Wao Watakwambia Aina Ya Simu Uliyoiona Kama Ni Original/Fake. Inachukua Sekunde Chache

Jaribu Hata Simu Uliyoishika
Mkuu hii ni kweli ila sasa kila simu niliyokuwa nashika pale k/koo nikituma sms naambiwa simu ni FAKE.Nimechukua tu liwalo na liwe hahahaa
 
Mkuu hii ni kweli ila sasa kila simu niliyokuwa nashika pale k/koo nikituma sms naambiwa simu ni FAKE.Nimechukua tu liwalo na liwe hahahaa
Ni simu gani? Ipige picha tuma humu tutaitambua kma ni fake au OG
 
Back
Top Bottom