Msaada wa kutambua Model ya simu kwa kutumia IMEI namba .

euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
3,741
4,081
Habari za Asubuhi wadau wa Jforum ,Bila kupoteza muda ni kwamba nina simu ambayo Imevunijka display Kwahyo haioneshi chochote zaidi ya mwanga tu,Hvyo nina mpango wa kuagiza display lakin sifahamu model ya simu lakini nimepata IMEI namba ambayo ni 8765777963558286Nimejaribu kuchek kule TCRA wameniletea X620 na nikachek kwenye IMEICHECK na wakaniletea X520 hvyo sielewi ipi itakuwa sahihi Zaidi hvyo naombeni Msaada .
 
IMG_4215.jpg

IMG_4214.jpg

IMG_4216.jpg
 
Back
Top Bottom