Pole sana! Tafuta zako achana na matumaini hewa.Wadau kuuliza si ujinga.Kwa wale mlio jikoni kuna jipya mwezi huu?Wanadai patrol zinafika halmashauri tarehe hizo.Wadau tujuzeni kama kuna jipya
Kwani hizo sio zake?Pole sana! Tafuta zako achana na matumaini hewa.
[emoji28] [emoji23] [emoji23]Ndio kima cha chini million na Noah ya makinikia juu
Patrol ndo nini?!Wadau kuuliza si ujinga.Kwa wale mlio jikoni kuna jipya mwezi huu?Wanadai patrol zinafika halmashauri tarehe hizo.Wadau tujuzeni kama kuna jipya
PayrollPatrol ndo nini?!