Naombeni tetesi kuhusu salary mpya

Naombeni tetesi kuhusu salary mpya

Biashara zenyewe zimekuwa ngumu kama nini. Nashangaa kuwasikia eti uchumi umekuwa!
 
Tunasubiri kwanza acacia watulipe matrilioni ya shilingi kwa kukwapua makinikia, Vinnginevyo mh!

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mshahara mpya wala kupanda madaraja, Kwanza HAKUNA WARAKA Uliotoka hadi sasa wa kupanda madaraja, PILI,Hivi sasa uhakiki umeanza tena hivyo hadi utakapokamilika. Mshahara kupanda labda tusubiri bajeti ya mwakani. Tuendelee kuchapa kazi kuinua uchumi wetu
 
Dah haina tabu,ngoja tuumie tu

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Hii inaitwa ngumi kumesa asee!

"Life+time"

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom