Naombeni tetesi kuhusu salary mpya

Naombeni tetesi kuhusu salary mpya

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Wadau kuuliza si ujinga.Kwa wale mlio jikoni kuna jipya mwezi huu?Wanadai patrol zinafika halmashauri tarehe hizo.Wadau tujuzeni kama kuna jipya
 
Mtumishi wa umma, piga kazi kazi kwanza , nchi inanyooshwa kwanza, mbili 19 utarundikiwa mzigo wa maana
 
Dah nimeishiwa nguvu

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom