Hizo kamati zimefanyaje mkuu ?!!kamati za ulinzi na usalama.
Siriel Mchembe wa Gairo naye si ametemwa?Wakuu Walioachwa mkeka wa mama Wa Ma DC
1. Richie Kasesera -Iringa
2. Lengai Sabaya- Hai
3. Lydia Bupilipili -Bunda
4. Ruth Blasio Msafiri-Njombe
5. Deogratius Kinawilo-Bukoba
6. Dr. Philis Nyimbi- Nyamagana
7. Dr. Severine Lalika-Ilemela
8. Dr. Kipole -Sengerema
9. Cornel Magembe- Ukerewe
10. Simon Odunga- Rorya
11. Eng. Mtemi Msafiri- Tarime
12. Nyamaganga Talaba- Kishapu
13. Anna Nyamubi- Butiama
14. Salehe Mhando-Tanganyika
15. Paul Ntinika- Mbeya
16. Asia Abdalah -Kilolo
waliofukuzwa kazi jumamosi usiku leo waende misa ya jioni kutoa sadaka ya shukrani.Wakuu Walioachwa mkeka wa mama Wa Ma DC
1. Richie Kasesera -Iringa
2. Lengai Sabaya- Hai
3. Lydia Bupilipili -Bunda
4. Ruth Blasio Msafiri-Njombe
5. Deogratius Kinawilo-Bukoba
6. Dr. Philis Nyimbi- Nyamagana
7. Dr. Severine Lalika-Ilemela
8. Dr. Kipole -Sengerema
9. Cornel Magembe- Ukerewe
10. Simon Odunga- Rorya
11. Eng. Mtemi Msafiri- Tarime
12. Nyamaganga Talaba- Kishapu
13. Anna Nyamubi- Butiama
14. Salehe Mhando-Tanganyika
15. Paul Ntinika- Mbeya
16. Asia Abdalah -Kilolo
Mimi Kasesera ndiye nimemuonea huruma siyo kwa juhudi zile hadi zile na maigizoWakuu Walioachwa mkeka wa mama Wa Ma DC
1. Richie Kasesera -Iringa
2. Lengai Sabaya- Hai
3. Lydia Bupilipili -Bunda
4. Ruth Blasio Msafiri-Njombe
5. Deogratius Kinawilo-Bukoba
6. Dr. Philis Nyimbi- Nyamagana
7. Dr. Severine Lalika-Ilemela
8. Dr. Kipole -Sengerema
9. Cornel Magembe- Ukerewe
10. Simon Odunga- Rorya
11. Eng. Mtemi Msafiri- Tarime
12. Nyamaganga Talaba- Kishapu
13. Anna Nyamubi- Butiama
14. Salehe Mhando-Tanganyika
15. Paul Ntinika- Mbeya
16. Asia Abdalah -Kilolo
Huyu si ndiye alikuwa jeuri sana nadhani alikuwa na kinga ya dogo wa Musoma au mtu anayefanana naye16. Asia Abdalah -Kilolo
Huyo yumoSiriel Mchembe wa Gairo naye si ametemwa?
Dr. Fils Nyimbi wa Nyamagana simuoniNaona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu
Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..
Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..
Mwenye nayo please naomba iweke hapa
YupoJery Muro wa arumeru sijamwona jamani naue katemwa
Yule aliemwambia mwenzie atulize mat*ko chini kule Iringa anaitwa nan?
Yupo Singida IkungwiJery Muro wa arumeru sijamwona jamani naue katemwa
Wallah akina njuki tutaendelea kua njukiHakuna anaekubali kupunguziwa power yeye akiwa dereva. Bulembo amepozwa kwa bint kuukwa UDC
Aise, haya bahna, TyissHuyo yumo