Mimi pia nimetemwa nasubiri UDASNaona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu
Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..
Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..
Mwenye nayo please naomba iweke hapa
=====
Jery Muro wa arumeru sijamwona jamani naue katemwa