LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,693
- 13,322
Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea madhara jamani na nyama ni tamu.
=============
Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri kiafya

=============
Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri kiafya