Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure
Ukizingatia umri wake na Hali yake ya kiafya vinanipa wakati mgumu sana, mazingira yalivyo Mimi ni MTU wake wa karibu zaidi,kwa...