Naombeni msaada wenu wadau

Naombeni msaada wenu wadau

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Nina tatizo moja wadau.

Nina simu yangu NokiaN95 8GB lakini chakushangaza haiwezi kuingia internet, nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja Vodacom ili waweze kunitumia configeration lakini imeshindikana.

Katika kuikagua kagua nikapita sehemu moja inaitwa Data Account kipengele GSM DATA nikataka nifungue sehemu nijaribu kuset baadhi ya mambo hapo lakini inaniandiki hivi UNSUPPORTED FORMAT

sasa sijui tatizo ni nini!

Tafadhari naombeni mwenye ujuzi anielekeze namna ya kuiwezesha kuaccess internet.

Naomba kuwasilisha
 
SuperImpressor nielekeze niset nini, maana hapa hapo pia nimepatembelea.

ukitaka kufaulu vizuri nitumie screenshot ya maneno uliyokutana nayo kwenye hiyo sehemu ili nikuelekeze. Hasa nakushauri uanze na Settings, Configurations, Personal configurations, kisha uchague 'Web' halafu maneno mengine yaache yalivyo kwenye use preferred access point weka No, kwenye Use proxy weka No, kisha angalia hapohapo kama kuna sehemu imeandikwa data setting au gprs au Apn setting uandike Internet,
Port no. weka 9401 au 80 ila ingekuwa vizuri kama ungetuma screenshot mimi sina hiyo simu ila nimetumia kauzoefu tu
 
Last edited by a moderator:
kuna uwezekano hiyo simu yako ikawa mchina maana symbian huwa zina detect settings automatic
 
kuna uwezekano hiyo simu yako ikawa mchina maana symbian huwa zina detect settings automatic
Kweli yawezekana mchina huyo si unajua tena tumevamiwa (Kenya wamesha jikomboa bado hapa kwetu )
 
pole sana! Kuna formula moja ya kupata settings kama wewe ni mteja wa vodacom kupitia njia ya text / sms. Sijui kama umeijaribu!
 
Maelezo yako hayaendani na title yako. Siku nyingine jaribu kuandika title inayoendana na maelezo yako ili uweze kupata msaada haraka zaidi.
 
Hiyo simu yake ni MCHINA 100%. Hapa nisemapo ninae rafiki yangu anayo.
Ili kuunganisha intaneti pitia hii page itakusaidia:
Je Wajua!!
 
Fuata giffgaff - help ila weka settings za mtandao wako, nadhani kwa tz kwenye Access Point name weka internet vingine vyote acha wazi.
 
Fuata giffgaff - help ila weka settings za mtandao wako, nadhani kwa tz kwenye Access Point name weka internet vingine vyote acha wazi.

Hii Access Point (Internet) Siyo ya TZ tu hii ni International Apn na hii kwa Tigo na Zantel haifanyi . Inafanya kwa voda na Airtel hapa tz
 
Hii Access Point (Internet) Siyo ya TZ hii ni International Apn na hii kwa Tigo na Zantel haifanyi . Inafanya kwa voda na Airtel hapa tz

Non smartphone aka simu za java ndio hazikubali kwa baadhi access point ya internet

Kwa smartphone mitandao yote mi 4 inakubali access point ya internet na ni proved nshafanya kwa zaidi ya simu 100
 
nenda menu then tools then setting then connection/destination utaone neo access point liclick.

Hapo utakuta list ya access point (kama zipo) au utaona neno empty (kama hamna) bonyeza option then create new

Kwenye connection name eka chochote hata jina lako then kwenye access point eka neno internet

Turn back then tumia hio access point kwenye kila application itakubali internet
 
Tigo APN yake ya web ni tigointernet, Zantel ni Znet, Voda na Airtel ni internet. Na zile list ulizotaja ujue kwamba ni acces point za nje ambazo hawatumii ile international APN kama tigo
 
Back
Top Bottom