Naombeni msaada wenu namna ya kufunga namba fulani isinipate hewani

Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
874
662
Wana jamvi naombeni msaada wenu namna ya kufunga namba flan isinipate hewani kuna namba zinanisumbua sana tafadhali naombeni msaada wenu ndugu zangu kwa wenye ujuzi.application zingine ninazo elekezwa akikupigia sim inaita kidogo inakata mtu hapo anajua ume m block kama kuna nyingine naombeni msaada wenu.
 
Kwenye simu za windows nimeona kuna Call and SMS blocker/Filter nzuri kuliko simu nyingine. Yaani akikupigia ni Busy tu na simu haiiti kabisa na sms zinablockiwa. sasa kwa Android najua ukiweka Block kuna saa inajitoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom