Pole sana mdughu wangu, shigha nirerehe iti ibene lina kini cha kukughenja japo ni kadori.
Eli79 mghenje rumburia maghu ahunduke kaa, itanga na vaathu vagenji tughenjanye yetoni.
Kwanini nisikubali? Nipe namba yako ya simu kesho tukutane Ubungo asubuhi.
Kesho asubuhi saa tatu kamili nikukute kituo cha basi kinondoni moroko,subiri kituo cha kwenda kariakoo,tukutane hapo nitakupa hio nauli.
Sasa nitakujuaje bila kunipa mawasiliano yako ndugu.
pole sana dada[/QUOTE
Tuchange jamani hizi pole na maombi hazisaidii kabisa kama kweli tunaamini mioyoni mwetu dada ana shida basi tumchangie pls.
We changia tu
Uwe pale saa tatu kamili mimi nitakupigia simu nikifika. Nitafika hapo saa tatu kamili. Unachotakiwa kufanya ni kuwa hapo on time tu.
Uwe pale saa tatu kamili mimi nitakupigia simu nikifika. Nitafika hapo saa tatu kamili. Unachotakiwa kufanya ni kuwa hapo on time tu.
We changia tu
wewe hutaki kumchangia mtani wako?
Namshukuru ndugu mwana JF Mangwelele amenitumia elfu 16 000 mda si mrefu.Mungu akubariki.
Ndugu sitaweza kufika bila kuwa na mawasiliano yako kwa maana wewe ni binadamu lolote laweza kukupata mda wowote.
Mkuu huyo dada ameshatoa namba yake ya simu.kama unania ya kumsaidia mtumie namba yako muwasiliane.sio lazima uiandike humu.reply za humu jf hazitoshi kumuhakikishia mtu appoitment ya uhakika.cha muhimu mpigie kwenye namba yake kama kweli unania.
wewe hutaki kumchangia mtani wako?
Wewe kiepe mimi ndiyo kidude chango cha kuchangia bila mimi weee huwez kuchangia ..zaidi unatoa maneno hapa tarumbeta liloingia mate
mpaka sasa umepata kiasi gani jumla dada?
Namba yake nimeiona ndio maana nimemwambia awe halo niliposema,naweza kutuma mtu sio lazima nije mimi kwahio namba yangu haina umuhimu kwake.
Sitaweza kufika ndugu kwa maana sina uhakika wa kukutana na wewe kwa maana hata mawasiliano hutaki kutoa na ulisema utanipeleka ubungo ukate tiketi na sasa umebadilika tena.
Sawa wewe ndio unataka msaada na mimi nataka kutoa, nitatoa kwa terms zangu Kama ngumu basi.