Naombeni msaada wana JF

Naombeni msaada wana JF

Nalogo

Senior Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
119
Reaction score
32
Habarini za jioni ndugu zangu,

Mimi ni dada nakaa Tabata Mangumi nilikuwa najishughulisha na biashara ndogondogo kwa kuendesha maisha pamoja na mme wangu wa ndoa aliekuwa anafanya biashara ya dagaa kutoa Kigoma kuja Dar kwa masikitiko makubwa miezi 6 imepita tangu mume wangu aende kuchukua dagaa Kigoma hajarudi mpaka leo na nikipiga simu anakata na kwa sasa simu haipatikani kabisaa

Ila kuna tetesi kwamba kaoa huko na biashara anafikisha Tabora na kurudi Kigoma.Vyombo vyangu vya ndani vimechukuliwa kwa sababu nilishindwa kulipa mkopo midogomidogo,kwahiyo kwa sasa sina kodi na sina pesa hata ya chakula ila kwetu ni Same mkoa wa Kilimanjaro.

Naombeni mnisaidie nauli tu ya kurudi kwetu Same na mwanangu wa miezi 8 na hata mnisaidie na sh.elfu hamsini tu nikaanzie biashara ya mahindi pale Same mjini.Mume ni mtu wa Kigoma.

Namba yangu ya simu ni 0712 319 836

Asanteni
 
Sina pesa za kutosha za kuongea humu kwahiyo msishangae labda nikichelewa kujibu msg zenu wapendwa.
 
Pole Sana Dada.Tutajitahidi Kukusaidia.Hiyo Ni Mitihani Tu Mungu Atakusaidia.
 
Pole sana mpendwa,hili tatizo lako limenigusa sana ila tu sina chochote cha kukusaidia zaidi ya kukuombea tu.
 
pole sana ndugu! hakuna ndugu wa mume yeyote ambaye unamfahamu akusaidie hili swala? au watu wake wa karibu uliobahatika kuwafaham tangu mko wote?
 
Pole sana nimeguswa na tatizo lako ulipoweka hadi namba ya simu mie msaada wangu ni maombi tu
 
pole sana ndugu! hakuna ndugu wa mume yeyote ambaye unamfahamu akusaidie hili swala? au watu wake wa karibu uliobahatika kuwafaham tangu mko wote?

Ndugu wa mume yupo maeneo ya ilala ila ni bibi mtu mzima uwezo hana ni shangazi yake kwa mbali.
 
Ndugu wa mume yupo maeneo ya ilala ila ni bibi mtu mzima uwezo hana ni shangazi yake kwa mbali.

Samahani kwa maswali mengi.......ila......ina maana ndugu yake unayemfahamu ni huyo tu.........?.......na wewe ndugu zako wapo wapi.........?.......
usichukie ni katika kupata angle nzuri ya kukusaidia mpendwa............
 
Ndugu ninaemfahamu kwa hapa Dar ni huyo tu ila ninao baba na mama mzazi wako Same ila hawana uwezo kwakweli na maisha hatukuanzia hapa Dar.
 
mhmh kashalishwa limbwata huko huyo alikuwa tapeli wa mapenzi tu jisalimishe kanisani au msikitini kulingana na imani yako humu watu watapita kimya kimya kama hawakujui
 
Weka no voda i mean m pesa na hujasema nauli ya Dar to same
 
Back
Top Bottom