Ushauri: Ninampenda sitaki kumpoteza kwani tumeshafanya mambo mengi

Mizho26

New Member
Apr 21, 2023
3
8
Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho yake nikazungumza nae ili nimuombe msamaha nahivi ndivyo alivyonijibu.

“MIMI ninakupenda sana tu na hata huyu uliyekuta sms zake anajua jinsi ninavyokupenda lakini kwa ulichonifanyia moyo wangu haupo tena kwako Upo kwa huyu coz we ilinisema vibaya ila huyu alinibembeleza ila kama unaweza nipe mda kama Kweli unanipenda “

Najaribu kumasahau nashindwa coz nilimuamini sana nabado ninampenda sitaki kumpoteza coz tushafany mamb mengi sana yamaisha na hata starehe pia…😩. ikimpigia cm neno lake kubwa tusiongelee kilichotokea utanikwaza tuendelee kuishi sasa sijui nifanyaje nahitaji nifike nae mbali kiujumla hasira zangu ndo zimeniponza.

Naombeni ushauri jamni 🙏🙏🙏🙏
 
20230901_222601.jpg
 
SASA tukushauri nini na ushafanya maamuzi. Yaani ushajiapiza haupo tayari kumpoteza unataka tukuambiaje?

Mmefanya mambo mengi pamoja yapi?? Wakati hamja Oana....au unamsomesha?
Anyway

Fuata Moyo wako Kama bado unampenda. Ila usije ukajiua siku ukimfumania analiwa na Hilo njemba lilio mbembeleza.
 
Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho yake nikazungumza nae ili nimuombe msamaha nahivi ndivyo alivyonijibu.

“MIMI ninakupenda sana tu na hata huyu uliyekuta sms zake anajua jinsi ninavyokupenda lakini kwa ulichonifanyia moyo wangu haupo tena kwako Upo kwa huyu coz we ilinisema vibaya ila huyu alinibembeleza ila kama unaweza nipe mda kama Kweli unanipenda “

Najaribu kumasahau nashindwa coz nilimuamini sana nabado ninampenda sitaki kumpoteza coz tushafany mamb mengi sana yamaisha na hata starehe pia…😩. ikimpigia cm neno lake kubwa tusiongelee kilichotokea utanikwaza tuendelee kuishi sasa sijui nifanyaje nahitaji nifike nae mbali kiujumla hasira zangu ndo zimeniponza.

Naombeni ushauri jamni 🙏🙏🙏🙏
Yakubali majibu yake kwamba yupo na yule..!!
 
Hahahaha muhuni huyo ashajua unampenda anakujambisha ila kiuhalisia anatoka na huyo uliyefuma sms zake
 
Kama unampenda sana na umekuta sms za mapenzi na mtu mwingine kwenye simu yake na hutaki kuamini kama anampenda mwingine jiandae kuwa mme mwenza, na umtafute mtu atakayetuletea taarifa za parapanda hapa jukwaani pale ukishahamua maamuzi magumu.
Hapo hatutasema "MUNGU KAKUPENDA ZAIDI"
 
Hali unayopitia wewe bro hata mimi yalinikuta hivyo hivyo bro ila mimi nilichofanya nilim block x
Whtsp pia namb nimefuta coz sihitajii hata kuomuona pic zake wala chchte kuhusu yeye japo kuwa bado yupo moyoniii ila nimefny maamuzii magum mpk leo mwezii sasa naendelea vizurii 2 japo moyo unanium ila siweziii kuludian nae
 
Delta one alpha , we need immediate back up i repeat one asset down over...
Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho yake nikazungumza nae ili nimuombe msamaha nahivi ndivyo alivyonijibu.

“MIMI ninakupenda sana tu na hata huyu uliyekuta sms zake anajua jinsi ninavyokupenda lakini kwa ulichonifanyia moyo wangu haupo tena kwako Upo kwa huyu coz we ilinisema vibaya ila huyu alinibembeleza ila kama unaweza nipe mda kama Kweli unanipenda “

Najaribu kumasahau nashindwa coz nilimuamini sana nabado ninampenda sitaki kumpoteza coz tushafany mamb mengi sana yamaisha na hata starehe pia…😩. ikimpigia cm neno lake kubwa tusiongelee kilichotokea utanikwaza tuendelee kuishi sasa sijui nifanyaje nahitaji nifike nae mbali kiujumla hasira zangu ndo zimeniponza.

Naombeni ushauri jamni 🙏🙏🙏🙏
Subr mwenzako Apewe Tunda kwanza
 
Back
Top Bottom