- Thread starter
- #41
nimekuelewa sana kiongozi, ahsante!!Mi sijaona sababu ya maswali yako wala kumuwazia huyo binti.
a) Umeshasema una mchumba mzuri kuliko yeye na ulishasema binti alikupotezea baada ya wewe kuzingua mwanzoni. Do you really want to miss another girl???? Uje ufungue uzi mwingine mrefu hivi??? Give us a break - pambana na mchumba mpya.
b) Unajua wazi kutokana na stori nyingi sana kuwa Nothing good is going to happen when you have an affair with another mans wife! Especially when he is loaded. Unasubiri nini hapo????