Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

Umefanya jambo la uungwana sana. Huu ndio utz ambao tumekuwa tukiishi kwa Umoja, Amani, na kusaidiana kwenye shida na raha. Ubarikiwe sana kwa muda wako na utu wako

Njoo tusaidiane mwezetu kafika kumuona sisi.wengine tuko mbali, lakini tunaweza fanya kitu chochote, changamoto bado zipo tena nyingi tu..sasa swali kwako ndugu yangu manizzle wewe kama wewe kama wewe tunasaidiana katika changamoto ipi???Msaada wako pls
 
Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA
13.Anonymous 10. 5,000/=AMETUMA
14.Manonymous14 10,000/=ANETUMA
15 Danonymous12 100,000/=AMETUMA
16.Ganonymous13 350,000/=AMETUMA
17Anonymous 14. 20,000/=AMETUMA

Anonymous 8. atatuma kesho
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
P anonymous4
Anonymous 9 150,000/= wiki ijayo
N anonymous 11 200,000/= kesho

Asanteni wote
 
Kwa mchango wowote wasiliana nami kwa +255679047446 (Tigo) / +255767157788 (Voda) John Makanga


Nsamaka
No. Ndo hizo hapo. Asante kwa msaada wako
 
Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA
13.Anonymous 10. 5,000/=AMETUMA
14.Manonymous14 10,000/=ANETUMA
15 Danonymous12 100,000/=AMETUMA
16.Ganonymous13 350,000/=AMETUMA
17Anonymous 14. 20,000/=AMETUMA

Anonymous 8. atatuma kesho
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
P anonymous4
Anonymous 9 150,000/= wiki ijayo
N anonymous 11 200,000/= kesho
SN anonymous 15
Asanteni wote
 
Watu pia wajaribu kushare post hii kwenye groups zingine ili ndugu yetu apate misaada kwa wingi.... i did.
 
NOVEMBER 28 2018 UPDATE
Wakuu leo nimetoka kulipia bima ya afya (NHIF) iliyotokana na michango yenu.
Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa wote mlio fanikisha zoezi hili. Mpo wengi na wengine hawakupeda kutajwa hapa lakini wote kwa umoja wenu nasema asante.
.
Kwa sasa nasubiri kadi ya bima itoke. Itachukua siku 21 za kazi kutoka.
Kadi ikitoka itanisaidia kwenye matibabu yote ikiwemo vipimo kwa ajili ya transplant na madawa baada ya trasplant (ikiwa ntapandikizwa) isipokuwa haitaweza kunihudumia upande wa kusafisha damu (dialysis) pamoja na dawa za ku-boost damu mpaka baada ya mwaka mmoja ntakapo renew.
Hivyo kwa sasa ntaendelea kulipia dialysis mpaka pale ntakapo pandikizwa figo au baada ya mwaka mmoja ntakapo renew bima
.
Natumai tutazidi kushirikiana na kupeana updates.
Naomba mwenyezi Mungu atuongoze na kutubariki wakati tukiendelea kutimiza majukumu yetu.
Bado nitahitaji michango yenu hasa upande wa dialysis
.
Jamii moja huzungumza lugha moja
IMG_20181128_170400_985.JPG
IMG_20181128_134718.jpg
 
NOVEMBER 21 2018 UPDATE
Wakuu leo nimetoka kulipia bima ya afya (NHIF) iliyotokana na michango yenu.
Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa wote mlio fanikisha zoezi hili. Mpo wengi na wengine hawakupeda kutajwa hapa lakini wote kwa umoja wenu nasema asante.
.
Kwa sasa nasubiri kadi ya bima itoke. Itachukua siku 21 za kazi kutoka.
Kadi ikitoka itanisaidia kwenye matibabu yote ikiwemo vipimo kwa ajili ya transplant na madawa baada ya trasplant (ikiwa ntapandikizwa) isipokuwa haitaweza kunihudumia upande wa kusafisha damu (dialysis) pamoja na dawa za ku-boost damu mpaka baada ya mwaka mmoja ntakapo renew.
Hivyo kwa sasa ntaendelea kulipia dialysis mpaka pale ntakapo pandikizwa figo au baada ya mwaka mmoja ntakapo renew bima
.
Natumai tutazidi kushirikiana na kupeana updates.
Naomba mwenyezi Mungu atuongoze na kutubariki wakati tukiendelea kutimiza majukumu yetu.
Bado nitahitaji michango yenu hasa upande wa dialysis
.
Jamii moja huzungumza lugha moja
View attachment 949394View attachment 949395
Mungu ni mwema!
Bado tuko pamoja na insha'Allah atazidi kukufanyia wepesi.
 
Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA
13.Anonymous 10. 5,000/=AMETUMA
14.Manonymous14 10,000/=ANETUMA
15 Danonymous12 100,000/=AMETUMA
16.Ganonymous13 350,000/=AMETUMA
17Anonymous 14. 20,000/=AMETUMA
18Snanonymous15 10,000/=AMETUMA


Anonymous 8. atatuma kesho
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
P anonymous4
Anonymous 9 150,000/= wiki ijayo
N anonymous 11 200,000/= kesho
Asanteni wote
 
ubarikiwe mdogo wangu
Ahadi yangu ya safari ya kwenda kumuona mgonjwa ilifanikiwa kwa asilimia zote. Sina budi kumshukuru Mungu kwa wema huo.

Jana App ya JF ilizingua kwenye kimeo changu, ikanifanya niwe nje ya JF kwa muda mrefu na kushindwa kuleta updates kwa wakati.

Nilifika Hospital nikiwa nawasiliana na mgonjwa, nikakuta kashaanza tiba(Dialysis) ambayo inachukua muda wa masaa 4, nikalazimika kumsubiri amalize tiba ili nipate wasaa wa kumjulia hali.

Kabla ya masaa 4 kukamilika, nikapata ruhusa ya kuingiamaana nilipata dharura ya kunilazimu kuondoka mapema, ndio nikaomba ruhusa ya kuingia) kumuona akiwa anaendelea na tiba.

Ukiona tabasamu, furaha ya mgonjwa wewe ambaye sio mgonjwa waweza kulia na kujiuliza iweje ana furaha ya namna hiyo ilihali yuko kwenye hali mbaya.....

Nilipoonana naye alifurahi sana, furaha isiyo kuwa na kifani, nikamjulia hali, tukapiga stori ya jinsi ya anavyopata matibabu huku tukiliangalia likifaa likubwa la Dialysis(Haemodialysis) na jinsi damu inavyotembea kwenye mirija nje ya mwili(kutoka na kuingia), It was amazing story.

Hali ya afya sio mbaya sana kutokana na hizi tiba za kila wiki ila inahitajika tiba ya kudumu(Kidney transplant, amabyo ndio tunaishughulikia) ili aweze kuwa katika wakati mzuri wa kuimarisha afya tofauti na sasa ambapo asipopata dialysis kwa wiki afya inakuwa matatani.

Mbali na hali ya afya yake kutokuwa nzuri anajitahidi kuhudhuria matibabu mwenyewe kwa kutumia usafiri wa umma japo ni changamoto kwake kulingana na hali yake maana tunajua adha ya usafiri wa umma kwa Dar jinsi ilivyo.

Ameshukuru sana kwa moyo mliouonesha hadi sasa na matarajio yapo mazuri na muda si mrefu ataanza kushughulikia utaratibu wa kupata bima kwenye mamlaka husika ili lengo litimie.

Ndungu zangu wana JF nawasihi kila mmoja kwa nafasi yake aweze kusaidia kiasi chochote alichonacho ili turejeshe furaha ya ndugu yetu, fanya hili jambo ukitarajia kupata wema zaidi hapo baadae kutoka kwa Muumba wako.

Alinda amu ahadi yangu tayari nishaitekeleza kama nilivyoahidi



















































































'
 
Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA
13.Anonymous 10. 5,000/=AMETUMA
14.Manonymous14 10,000/=ANETUMA
15 Danonymous12 100,000/=AMETUMA
16.Ganonymous13 350,000/=AMETUMA
17Anonymous 14. 20,000/=AMETUMA
18Snanonymous15 10,000/=AMETUMA
19Nanonymous11 240,000/=ATUMA

Anonymous 8. atatuma kesho
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
Anonymous 9 150,000/= wiki ijayo
Asanteni wote
 
Back
Top Bottom