Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

Dah huu ugonjwa nimeuguza baba yangu takribani miaka mitatu....Ukisikia ugonjwa wa kufilisika ndio huu...tena mtoa mada naona gharama zake ni ndogo caz mim nilikuwa natoa jumatatu 240k jumatano 250k na ijumaaa 240k bado sindano za insulin lakin yote heri Mungu akamchukua dec tar 3...nilikuwa na stress sio za kawaida...pole sana mkuu najua unavyoteseka kwa kwel mimi nikuombee tuu caz nimefilisika kabisaa
 
Dah! Pole sana
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom