Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA
13.Anonymous 10. 5,000/=AMETUMA
14.Manonymous14 10,000/=ANETUMA
15 Danonymous12 100,000/=AMETUMA
16.Ganonymous13 350,000/=AMETUMA
17Anonymous 14. 20,000/=AMETUMA
18Snanonymous15 10,000/=AMETUMA
19Nanonymous11 240,000/=ATUMA

Anonymous 8. atatuma kesho
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
Anonymous 9 150,000/= wiki ijayo
Asanteni wote

Nakumbushia ahadi hasa Anonymous z8 ambaye ni Sa...tafadhali timiza ahadi yako tusicheze na matatizo ya watu jamani
 
Naamini unaendelea vizuri. Vipi ulifanikiwa kupata kadi ya bima?
Nakutakia sikukuu njema na mwaka 2019 wenye baraka tele.
Naendelea vizuri mkuu.

Kadi bado sijafanikiwa japo siku 21 walizotoa zimekwisha. Walisema watanijulisha kwa simu. Kama hawatanijulisha mpaka tarehe 2 January, nitakwenda kufuatilia mwenyewe

Nawe nakutakia sikukuu njema.
 
_________JANUARY 2019 UPDATE__________
Wakuu, heri ya mwaka mpya. Namshukuru Mungu kwa kuendelea kunipa pumzi ya uhai na kufanya historia ya maisha yangu kuingia mwaka 2019.
.
Nimewaletea taarifa kuwa ile kadi ya bima ya afya niliyo kuwa nikiisubiri kwa ule muda wa siku 21, sasa iko mikononi mwangu, nina maana nimesha ichukua toka mfuko wa bima wa taifa (NHIF)
.
Nawashukuru sana kwa kazi kubwa mlio ifanya.
Mwanzo ilionekana ni kitu kama hakiwezekani hivi, kumbe inawezekana.
Niliwaamini ndo maana nilileta ombi langu kwenu. Kuna mitandao mingi ya kijamii lakini mi niliona Jamii Forum ndo ina watu wenye ukweli kwa maana kwamba mtu akisema ndiyo inakuwa ndiyo kweli, akisema hapana inakuwa hapana kweli.
Mitandao mingine imetawaliwa na maroboti. Roboti linaweza ku-like au ku-comment post yako, ukasema ni mtu kumbe ni roboti.
.
Narudia kuwashukuru kwa hapa tulipofikia.
Jambo la nyongeza, napenda kukumbushia kwa wale watakao wiwa kunichangia pesa ya kusafisha damu (dialysis) kwa mwaka huu 2019 wakati nikisubiri bima ikomae, nawakaribisha.
Hili nililieleza kwenye update ya November 28 2018 ukurasa wa kwanza. Unaweza kupitia ukasoma.
.
Mwenye mchango anaweza pitishia kwenye namba hizi:
0767157788 (M-Pesa) au 0679047446 (Tigo Pesa) Jina litakalo tokeza ni John Makanga
.
Jamii moja, huzungumza lugha moja.
1546622462262.jpg

Kadi yangu ya bima ya afya (NHIF) ikiwa tayari kwa matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii moja, huzungumza lugha moja. View attachment 987614

Finally umeipata... Wabarikiwe wote waliofanikisha zoezi hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani habari za jioni

Narudi tena kwenu kuna watu waliotoa ahadi za kumsaidia ndugu yetu huyu kwa ajiri ya dialysis, tunakuomba utimiza ahadi yako kwani ndugu yetu yuko katika uhitaji mkubwa wa hela ya dialysis ya mwezi February kiasi kinachotakiwa ni laki 340 pesa alizonazo ni elf 26..pls msaada wako ni muhimu
 
_________JANUARY 2019 UPDATE__________
Wakuu, heri ya mwaka mpya. Namshukuru Mungu kwa kuendelea kunipa pumzi ya uhai na kufanya historia ya maisha yangu kuingia mwaka 2019.
.
Nimewaletea taarifa kuwa ile kadi ya bima ya afya niliyo kuwa nikiisubiri kwa ule muda wa siku 21, sasa iko mikononi mwangu, nina maana nimesha ichukua toka mfuko wa bima wa taifa (NHIF)
.
Nawashukuru sana kwa kazi kubwa mlio ifanya.
Mwanzo ilionekana ni kitu kama hakiwezekani hivi, kumbe inawezekana.
Niliwaamini ndo maana nilileta ombi langu kwenu. Kuna mitandao mingi ya kijamii lakini mi niliona Jamii Forum ndo ina watu wenye ukweli kwa maana kwamba mtu akisema ndiyo inakuwa ndiyo kweli, akisema hapana inakuwa hapana kweli.
Mitandao mingine imetawaliwa na maroboti. Roboti linaweza ku-like au ku-comment post yako, ukasema ni mtu kumbe ni roboti.
.
Narudia kuwashukuru kwa hapa tulipofikia.
Jambo la nyongeza, napenda kukumbushia kwa wale watakao wiwa kunichangia pesa ya kusafisha damu (dialysis) kwa mwaka huu 2019 wakati nikisubiri bima ikomae, nawakaribisha.
Hili nililieleza kwenye update ya November 28 2018 ukurasa wa kwanza. Unaweza kupitia ukasoma.
.
Mwenye mchango anaweza pitishia kwenye namba hizi:
0767157788 (M-Pesa) au 0679047446 (Tigo Pesa) Jina litakalo tokeza ni John Makanga
.
Jamii moja, huzungumza lugha moja. View attachment 987614
Kadi yangu ya bima ya afya (NHIF) ikiwa tayari kwa matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hongera sana kaka mkubwa,
wana jamii tuendelee kutoa kwa kadri tulivyojaaliwa ili ndugu yetu aendelee kupata matibabu ya damu.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Ndugu yetu mwanajamii mwenzetu anaesumbuliwa pia na maradhi ya figo ambae tulimchangia hatimae akapata bima ya afya

Ijue CKD..Epuka vihatarishi kama shinikizo la juu la damu na kisukari.. Usitumie dawa za kutuliza maumivu kiholela..Usitumie mitishamba kiholela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mr John lakini mimi nashauri kama vipi ukachukue bima ya resolution ofisi zao zipo Victoria Makumbusho jengo la accacia kwa ghalama ya 86,000 ikusaidie kwanza
 
Jamani JF ni kiboko ya uchafu. Kusema ukweli ni leo tu nimekutana na huu uzi ila nimefarijika kuona jinsi wana jumuia wa JF walivyowamoja. Mimi siwezi kutoa ahadi sababu najua matatizo ya mahali nilipo sina uwezo wa kutuma hata senti kwa wazazi wangu achilia mbali kwenye nyumba yangu. Tushukuru tunapoona tuna uhuru wa kuongea, kutuma pesa na kusalimiana bila vikwazo. Kuna wenzetu hata mkoa jirani ni shida. Mungu ibariki Africa.
 
Daah hongera sana kaka mkubwa,
wana jamii tuendelee kutoa kwa kadri tulivyojaaliwa ili ndugu yetu aendelee kupata matibabu ya damu.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Asante...nashukuru mwezi wa pili niliuvuka Salama.
Atakaye wiwa kunichangia kwa ajili ya mwezi huu wa tatu, namkaribisha.
Inahitajika TSh 340,000 za kusafisha damu kwa kwa mwezi huu wa tatu.
Namba zangu ni 0679047446 (Tigo) na 0767157788 ( Voda)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm nashangaa
Yaani kuna watu wanajisahau aisee ,,mtu mwenzie anaumwa anaomba msaada ye anamuambia aweke picha wakati ashasema km uhamini uende muhimbili j3 na alhamis,,,,,,,,, jitu km ilo ikifika jumapili linapeleka sadaka ya laki kwa manabii wa kitaperi
 
Asante...nashukuru mwezi wa pili niliuvuka Salama.
Atakaye wiwa kunichangia kwa ajili ya mwezi huu wa tatu, namkaribisha.
Inahitajika TSh 340,000 za kusafisha damu kwa kwa mwezi huu wa tatu.
Namba zangu ni 0679047446 (Tigo) na 0767157788 ( Voda)

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uongozi wa rais Magufuli umekusaidiaje mpaka ss,ukitupa feedback itakuwa vizur zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom