Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

Ndugu, pitia ukurasa wa 12 risiti za malipo nliweka mimi nlipomuona kuhusu form nahisi unaongelea file huwa linabaki hospital, hakuna utapeli na kesho Mungu akipenda Mwifwa ataonana nae na wewe ukipata mda unaweza pita kila jumatatu na alhamisi.

Tafadhali chukua dakika 2 upitie comments utaelewa, ubarikiwe.
Tayari mkuu. Ugonjwa hauna mwenyewe. Mungu amponye haraka, AMEN
 
Mbona vipo jamani tena vimetumwa na mwanajamii mwenzetu...rejea ukurasa wa 12..kutoka kwa amu ...Mie binafsi nimeishawasiliana naye na kumuomba picha zake...Kweli hali inasikitisha.

Rejea ukarasa wa 12 tafadhali halafu rudi tumssidie au waweza wasiliana naye no. Ziko mwanzoni...
Niliona sasa sina hofu tena mkuu
 
Sijaelewa kuna michango mingine au ni vipi? (nashindwa kupitia msg moja moja nyingi mno) kuna mwingine alituma kwa namba iliyoweka hapo juu.
 
Sijaelewa kuna michango mingine au ni vipi? (nashindwa kupitia msg moja moja nyingi mno) kuna mwingine alituma kwa namba iliyoweka hapo juu.



Ndio kuna michango mengine...tafadhali nenda ukurasa wa 13 ndo kuna maelezo ya kina
 
Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA


Sabosabo
Mwifwa
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
P anonymous4





amu mpendwa wangu njoo tulie.pamoja machozi ya furaha

Asanteni wote
 
Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA


S anonymous 8 atatuma kesho
Mwifwa
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
P anonymous4





amu mpendwa wangu njoo tulie.pamoja machozi ya furaha

Asanteni wote[/QUOTE]
 
Ningeshauri updates zote ziwekwe kwenye ukurasa wa mwanzo kwenye post ya awali.
Aidha niwashukuru wote waliojitoa na kufanikisha hili zoezi kufikia hii hatua.

Wazo ni zuri lakini anayeweza fanya hivyo ni.mhusika au mod...

Sasa mkuu unatuacheje..ahadi bado zimaendelea jamani..niandike ngapi kwenye list..
 
Wazo ni zuri lakini anayeweza fanya hivyo ni.mhusika au mod...

Sasa mkuu unatuacheje..ahadi bado zimaendelea jamani..niandike ngapi kwenye list..

Niliwasiliana na mhusika. Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya. Kipekee pia nimshukuru kaka yangu Nyani Ngabu kwa utu na ubinadamu aliouonyesha, sio kwa sababu ya kiwango, wengi wamemchukulia tofauti na alichokifanya. Kwa moyo mkunjufu niwashukuru wote, namaanisha wote waliotoa na wanaotarajia kutoa kiasi na kiwango chochote kile, lengo ni kumsaidia ndugu yake afanikishe kupata matibabu.
 
Niliwasiliana na mhusika. Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya. Kipekee pia nimshukuru kaka yangu Nyani Ngabu kwa utu na ubinadamu aliouonyesha, sio kwa sababu ya kiwango, wengi wamemchukulia tofauti na alichokifanya. Kwa moyo mkunjufu nwashukuru wote, namaanisha wote waliotoa na wanaotarajia kutoa kiasi na kiwango chochote kile, lengo ni kumsaidia ndugu yake afanikishe kupata matibabu.


Asante sana ndugu yangu. Kuweka mambo wazi mchango wako umeuwakilisha kwa.mhusika??
 
Asante sana ndugu yangu. Kuweka mambo wazi mchango wako umeuwakilisha kwa.mhusika??

Sikutaka kuliongelea hili kwenye kadamnasi na kwa sabau zangu. Naenda kumtembelea next week hospitali muhimbili pamoja na ubani wangu.
 
Ahadi/ na utekelezaji wake
1. Nyani ngabu 220,000/= AMETUMA
2. Palsa. 100,000/= AMETUMA
3. Amu. 100,000/= AMETUMA
4. Anonymous1. 10,000/= AMETUMA
5. Anonymous2. 1,000/= AMETUMA
6.Chupaku&Friends 505,000/=AMETUMA
7. Mama Sabrina. 52,000/=AMETUMA
8. Anonymous 5. 5,000/=AMETUMA
9.Anonymous6 35,000/=AMERUMA
10.Anonymous7 100,000/=AMETUMA
11.Alinda. 300,000/=AMETUMA


Anonymous 8. atatuma kesho
Mwifwa
G anonymous3 mpk tarehe.15.12
P anonymous4
Anonymous 9 150/= wiki ijayo


Asanteni wote[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom