Naombeni msaada wa haraka niokoe maisha ya baba yangu Hospitali ya Muhimbili

Ukweli mchungu.
 
Mgonjwa wa Corona ni rahisi sana kupona kabla hajafikia hiyo stage ya kuwekewa oxygen.Kwa nini umekaa kimya hadi amewekewa oxygen halafu ndiyo unataka ushauri?Ingekuwa alikuwa bado hajawekewa oxygen ningekuambia cha kufanya.
 
TUMIA TU NAFASI YAKO NDUGU YANGU ILI MZEE APONE UKICHELEWA LOLOTE LIKITOKEA UTAJA JUTA SANA
 
Poti ongea kijeshi tu mbona simple!
Kisha mkwara juu ya uhai wake.
1234 Over.
 
Pole. Manesi ni kama wamechoka, ukizingatia hali ilivyo mbaya ya kuugua sasa. Hakuna kitu kigumu kama kumuuguza mgonjwa wa kuvalishwa pampasi.

Niliwahi uguza mama huko kcmc, manesi wanadai wao sasa wamekuwa wabovu wa mgongo shauri ya kubeba wagonjwa.

Kwa hadhi yako unayosema ungeitumia kuomba kibali ili ubaki hapo wodini, even ICU kule kcmc niliruhusiwa sijui hapo pako je.

Kuuguliwa yahitaji uvumilivu kuuguza.

Leo mgonjwa ameamkaje.
 
Wakati wa vita ni kutumia sila zozote ulizo nazo, kwani ukimpoteza mwishowe utajutia kwa nini hukufanya, NA Tuwatunze wazee wetu tusisubiri mpka waugue, tuhakikishe wanakula vizuri na wanajikinga na haya magonjwa kabla ya kuzidiwa. pole sana.
 
Pole kwa kuuguliwa,nasubiria kujua hali ya mgonjwa kwanza ndio nichangie...
 
Hapo ndpo niliposhangaa lakn angekuwa anafukuzia demu halafu anachomoa nazan angetumia mamlaka ya nafas alyonayo serikalin kumgegeda huyo manz ameniuz sana mkuu

Bora mzee angepiga nyeto tu shahawa zngemwagika chin kuliko kuzaa jitu Kama hili
 
Kuwa.mpole kila MTU akiwa ofisini kwake anahitaj heshima na kujimwambafy ongea nae kiupole akusaidie binadamu wote wanapenda kuwa appreciated
Awe mpole kivipi wakati huduma mbovu? Mimi hiyo ilinitokea KCMC some years back... Nilitafuta jina la yule Nesi na ushahidi mchache (nilimrekodi) then nikaenda straight kwa mkuu wao, na I was prepared to go further... Aliondolewa kumhudumia mgonjwa wangu, nikapata muuguzi mwingine very cooperative mpaka mgonjwa akapona.
 
Broo... Tumia madaraka na power yako... Kula kichwa uyo nesi... Leo baba akipona kesho kuna mtu mwingine atanyanyaswa.. Kula kichwa iko kaka... Tafadhali sana..
Kabisa kula kichwa... Mpigie yule Waziri wao mwenye mbwembwe nyingi...
 
pole sana mkuu
 
Tukurushie hela ya matibabu kwa namba gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…