Naombeni msaada wa haraka niokoe maisha ya baba yangu Hospitali ya Muhimbili

You're not serious Brother, choose between the two! Yaani unashindwa kunsaidia mzee kwa kutumia title yako kisa wagopa wasikujue....wewe ni mjinga na wewe ndio unamuua huyo mzee wa watu kwa maujinga yako. Heri angesomesha mbuzi muda huu angekua anakunywa supu. Umenichukiza sana au hii ni hadisi
Ukweli mchungu.
 
Mgonjwa wa Corona ni rahisi sana kupona kabla hajafikia hiyo stage ya kuwekewa oxygen.Kwa nini umekaa kimya hadi amewekewa oxygen halafu ndiyo unataka ushauri?Ingekuwa alikuwa bado hajawekewa oxygen ningekuambia cha kufanya.
 
Wapendwa Habari za jioni,Niko Muhimbili Emergency hapa nimemleta baba yangu anapata Changamoto ya upumuaji kawekewa oxygen toka saa 8 na sukari yake iko juu sana over 20 ila haijaguswa hadi muda huu.

Shida ninayopata imetokea tu bahati mbaya Manesi wamemchukia sana kiasi sijajua kwanini na nahofia wanaweza kumuua nikiondoka,Nurse aliyekuwa Day leo alimpenda sana hata pampasi alituambia tununue atamvalisha,Ila aliyeingia Night kamchukia sana hata sisi kumlisha imekuwa shida ana visirani na Mgonjwa hadi naogopa sijajua amewakosea nini wakati hata kuongea hawezi,nitamtaja jina lake baadae na vitendo anavyomfanyia na Afroking zake.

Niko kwenye wakati mgumu sana niko kwenye Taasisi ya Serikali ambayo inaweza kuinfluence nikasaidiwa haraka sana kwa maelekezo kabisa ila nahofia nikiitumia nafasi yangu watanijua na wanaweza kummaliza kwa style nyingine.

Niko kwenye wakati mgumu sana naombeni msaada,ushauri na maoni yatakayoweza kusaidia kuokoa uhai wa Mzee wangu.
TUMIA TU NAFASI YAKO NDUGU YANGU ILI MZEE APONE UKICHELEWA LOLOTE LIKITOKEA UTAJA JUTA SANA
 
Poti ongea kijeshi tu mbona simple!
Kisha mkwara juu ya uhai wake.
1234 Over.
 
Pole. Manesi ni kama wamechoka, ukizingatia hali ilivyo mbaya ya kuugua sasa. Hakuna kitu kigumu kama kumuuguza mgonjwa wa kuvalishwa pampasi.

Niliwahi uguza mama huko kcmc, manesi wanadai wao sasa wamekuwa wabovu wa mgongo shauri ya kubeba wagonjwa.

Kwa hadhi yako unayosema ungeitumia kuomba kibali ili ubaki hapo wodini, even ICU kule kcmc niliruhusiwa sijui hapo pako je.

Kuuguliwa yahitaji uvumilivu kuuguza.

Leo mgonjwa ameamkaje.
 
Wapendwa Habari za jioni,Niko Muhimbili Emergency hapa nimemleta baba yangu anapata Changamoto ya upumuaji kawekewa oxygen toka saa 8 na sukari yake iko juu sana over 20 ila haijaguswa hadi muda huu.

Shida ninayopata imetokea tu bahati mbaya Manesi wamemchukia sana kiasi sijajua kwanini na nahofia wanaweza kumuua nikiondoka,Nurse aliyekuwa Day leo alimpenda sana hata pampasi alituambia tununue atamvalisha,Ila aliyeingia Night kamchukia sana hata sisi kumlisha imekuwa shida ana visirani na Mgonjwa hadi naogopa sijajua amewakosea nini wakati hata kuongea hawezi,nitamtaja jina lake baadae na vitendo anavyomfanyia na Afroking zake.

Niko kwenye wakati mgumu sana niko kwenye Taasisi ya Serikali ambayo inaweza kuinfluence nikasaidiwa haraka sana kwa maelekezo kabisa ila nahofia nikiitumia nafasi yangu watanijua na wanaweza kummaliza kwa style nyingine.

Niko kwenye wakati mgumu sana naombeni msaada,ushauri na maoni yatakayoweza kusaidia kuokoa uhai wa Mzee wangu.
Wakati wa vita ni kutumia sila zozote ulizo nazo, kwani ukimpoteza mwishowe utajutia kwa nini hukufanya, NA Tuwatunze wazee wetu tusisubiri mpka waugue, tuhakikishe wanakula vizuri na wanajikinga na haya magonjwa kabla ya kuzidiwa. pole sana.
 
Pole kwa kuuguliwa,nasubiria kujua hali ya mgonjwa kwanza ndio nichangie...
 
You're not serious Brother, choose between the two! Yaani unashindwa kunsaidia mzee kwa kutumia title yako kisa wagopa wasikujue....wewe ni mjinga na wewe ndio unamuua huyo mzee wa watu kwa maujinga yako. Heri angesomesha mbuzi muda huu angekua anakunywa supu. Umenichukiza sana au hii ni hadisi
Hapo ndpo niliposhangaa lakn angekuwa anafukuzia demu halafu anachomoa nazan angetumia mamlaka ya nafas alyonayo serikalin kumgegeda huyo manz ameniuz sana mkuu

Bora mzee angepiga nyeto tu shahawa zngemwagika chin kuliko kuzaa jitu Kama hili
 
Kuwa.mpole kila MTU akiwa ofisini kwake anahitaj heshima na kujimwambafy ongea nae kiupole akusaidie binadamu wote wanapenda kuwa appreciated
Awe mpole kivipi wakati huduma mbovu? Mimi hiyo ilinitokea KCMC some years back... Nilitafuta jina la yule Nesi na ushahidi mchache (nilimrekodi) then nikaenda straight kwa mkuu wao, na I was prepared to go further... Aliondolewa kumhudumia mgonjwa wangu, nikapata muuguzi mwingine very cooperative mpaka mgonjwa akapona.
 
Broo... Tumia madaraka na power yako... Kula kichwa uyo nesi... Leo baba akipona kesho kuna mtu mwingine atanyanyaswa.. Kula kichwa iko kaka... Tafadhali sana..
Kabisa kula kichwa... Mpigie yule Waziri wao mwenye mbwembwe nyingi...
 
Wapendwa Habari za jioni,

Niko Muhimbili Emergency hapa nimemleta baba yangu anapata Changamoto ya upumuaji kawekewa oxygen toka saa 8 na sukari yake iko juu sana over 20 ila haijaguswa hadi muda huu.

Shida ninayopata imetokea tu bahati mbaya Manesi wamemchukia sana kiasi sijajua kwanini na nahofia wanaweza kumuua nikiondoka. Nurse aliyekuwa Day leo alimpenda sana hata pampasi alituambia tununue atamvalisha, ila aliyeingia Night kamchukia sana hata sisi kumlisha imekuwa shida ana visirani na Mgonjwa hadi naogopa sijajua amewakosea nini wakati hata kuongea hawezi. Nitamtaja jina lake baadae na vitendo anavyomfanyia na Afroking zake.

Niko kwenye wakati mgumu sana niko kwenye Taasisi ya Serikali ambayo inaweza ku-influence nikasaidiwa haraka sana kwa maelekezo kabisa ila nahofia nikiitumia nafasi yangu watanijua na wanaweza kummaliza kwa style nyingine.

Niko kwenye wakati mgumu sana naombeni msaada, ushauri na maoni yatakayoweza kusaidia kuokoa uhai wa Mzee wangu.
pole sana mkuu
 
Tukurushie hela ya matibabu kwa namba gani?
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom