Naombeni msaada school management system. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada school management system.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Lutajoan, Jul 1, 2010.

 1. L

  Lutajoan Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee,habari
  Naombeni mnipe msaada wakunisaidia kutengeneza system ya shule kwani nimepewa assignment chuo nakazi inakuwa ngumu sasa. Ni simple Databese tu ndiyo inayotakiwa.
  kama mtakuwa nayo attach katika mail hii lutagwabajohn@yahoo.com
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ndiyo maana inaitwa shule. Sas ukitengenezewa utakuwa umeelimika au umedesa?

  anyway unaweza kulipa kiasi gani ili utengenezewe.
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ndugu huoni kwanza una jexpose hapa unajua unavyotoa email yako inasambaa kwa nani na nani hata mwalimu wako , mwajili wako anaweza kupata barua pepe hiyo isije ikakuharibia masuala yako huko mbeleni
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mi nafikiri anza na ukikwama ideas wasilisha wadau watakusaidia tu; mwisho wa siku utakuwa vizuri zaidi.

  kabra ujanza hiyo project yako inabidi uwe na japo user requirements/system requiments kabla hata ujafikilia development.

  mwisho wa siku lazima ujue utatumia DBMS & programing language gani?
   
 5. L

  Lutajoan Member

  #5
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  ndiyo maana nimeomba msaada wa maelekezo kaka,
   
 6. L

  Lutajoan Member

  #6
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  kaka nashukuru sana kwa ushauli wako,tena naona utanisaidia sana Programing language natumia VB6
   
 7. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
 8. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Acha hizo, fanya kazi yako mwenyewe. Utakua kil;aza fulani hivi!!!
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa ndio maana watanzania wengi tunafaulu theoreticaly lakini practically inakuwa mzozo

  Anyway Muwasilisha kukusaidia kwa tazao Nadani untakiwa usome vitamu na kujua process za IS Sysytem development. Hiyo itakuwa obovoius ni Database fulani

  Lakini swali lako bado lina ambiguity ukisema School Management system kuna Entity nyingi na perocess nyingi inabidi ujue assigment yako inalenga hasa kwenye kumanage process gani. Wanafuzi? Walimu?, Karo? Vipindi? etc Au vyote kama ni vyote then kazi unayo

  Swali lako ni ambiguty sababu ni sawa nikumbie nataka ninunue gari . utanishauri ninue gari gani? Lazima kabla ya ushauri kuna maswali unatiniliza. kama matumizi ya gari nalotaka ni kwa ajili ya nini , kiasi cha pesa nilichonacho, etc

  Kwa hiyo kitu muimu unatakiwa uwe na Requiremnt specifaction ya kueleweka nini hasa hiyo system yako inatakiwa kuachive. From reuquiment itajua system yako itapokea input gani na inatakiwa kutoa output( Report) gani . From rewuiremnt specifaction Utajua key Entities zitazokuwawezesha kuchora ERD na DFD na model nyingine zitakazokuwezesha kujua ni tables ngapi na report gani systema yako iwe nayo.

  Kwa hiyo kwa kukusaidia Fuata process za system develompment process utafanikiwa iwe ni waterfall au Rapid application develpment au nyinginezo.

  Kitu kingine umekosea kusema ni simple database .Dont assume ingekuwa simple usingeuliza.System delevopment in not a simple process.
  U can get all the answer from the internet . unaweza kupata hata model ya mifano ya system za sule watu walizotengeneza. Kukuandikia linkd hapa itakuwa ni sawa na kukutafunia chakula ili umeze wich is not good.
   
 10. L

  Lutajoan Member

  #10
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa Bro, hapo nimekupata sawsawa, kweri swali lilikuwa ambiguity. sasa mimi nilikuwa nimeandaa table nne 1Class, 2Student, 3Teachers, 4Employee, Riport ninayotaka itowe ni kwa mfano students itowe riport ya mitihani,nk yani full doc za muhimukwa mwanafunzi.
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nakushauri kwanza uandike feature zote unazotaka hiyo system iwe nazo add/edit/delete student, add/edit/delete teacher etc, na report gani unataka iweze kugenerate kwa undani kabisa. e.g Report ya mtihani itakuwa na info gani, grade, mark, comment za mwalimu etc, yoote uweke in detail na hata zichore kwenyw karatasi zita kuaje kuaje hizo repoti, hapo ndo utaweza kuanza kudesign hiyo database yako na kujua unatakiwa uwe na tables gani na zenye data gani.

  Pili onyesha effort kidogo! Watu tutakusaidia ukigoma sio unataka utafuniwe kila kitu, hizo table zako 4 zina fields gani? na unategemea kuzilink na kuzitumia vipi?

  Mwisho niseme kwamba VB6 unless ni requirement ya kozi usiitumie nenda VB.Net.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  WIch table is related to wich table ? Na what kind of relationship? one to one ne to many many to many. HIvi ni vitu vya muhimu kujua kwenye development ya any Relational Database

  Anoter assumption or ambiguty you sould clarify what is a CLass? Is it a pysical room indetified by room nuber or Class mean biology class, or chemistry class wich is indetified a composte key of teacher_Id, Subject_code and time.

  Then kwenye repoti usi assume .kuwa specifc kwa mujibu wa swali ulilopewa kama inatakiwa itoe ripoti ya mitiani basi Matokeo ya mitihani ni subsytem on it own .Amabyo inaweza kuwa na table ya Exam( Exam_no, Date,subject_code ,HOurs) Kunaweza kuwa na table ya Result ( Student_id, Marks, Grade ). kwa haraka mpaka hapo naona the minimu number ya table zinazoweza kuwa kwenye databasa yako ni SITA

  Sidhani kama table ya employee inahitajika unless system yako itahitaji kutoa report ya employee ambao sio Teaching staff. Sababu Teacher nao ni epmloyee.


  Kwenye swali ulilopewa lazima kuna sysytem requirement na description Japo utatakiwa kufanya your own assumptaion pale patapokuwa na utata

  .Mfano kuna weza kuwa na maelezo kama haya
  School XYZ has a number of Student. Each student is registered to cousrse . Course are tougght by teacher in class. One teacher can teach more than one subject. Every year student do exam for each subject they take.................

  Maelezo kama ayo yatakusaidia kuwa na ERD au DFD depending kwenye assigment yako unatakiwa kutumia MOdelling tool gani. Correct
  ERD Itakusaidi pia kujua Relatiship type na cardinality. Correct ERD itakusaida pia kujua ni table gani primary key yake itahama kwenda kuwa foreign key kwenye Table / entity nyingine. Maelezo ya swali yanaweza kukupa baadhi field muhimu zinazotakiwa kwenye entity fulani. then wewe unaweza kuongezea zako. Maelezo kwenye swali tatakusaidi kujua ni report gani zinatakiwa so utajua report zako zitavuta data directly from table au inabidi utengeneze query au stored procedure au views za aina gani

  Na sijui ni katika level gani ya college umepewa project hii. Sababu Unaweza kukutka unahitaji kujua na kusoma kitu kinaitwa Entity Normalisation.( Enity kuwa na Info kuhusu kitu kimoja tu)

  NB: Sijui mgawanyo wa maksi kwenye hiyo prjoeject yako ikoje lakini project nyingi zinatoa maksi nyingi kwenye design(What) kuliko kwenye implimentation( HOW)

  Na kama dhumuni la project ni kujua simple Database develpmet Skill. ambazao ni kuidenfy entity na fields , Kui dentfentify Primary key na freign keys , Ku identify relatioship btn one table and another zako , etc go the simple MS acess way during last stage of impliementation . Dont complicate things

  Zaidi ujue hakuna one single best solution kwenye issue kama hizi. depending on Assumption utakazofanya in some scenario then mwisho wa siku kuna mwingine atakuwa na table 8 mwingine ana 6 .
   
 13. doup

  doup JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  @Mtazamaji: naona umeamua kumwaga desa kamili

  @Lutajoan: Soma hilo desa, kisha weka assumption zako; tengeneza DB yako ikasha kaavizuri then twende kwe user interface -->Sample function za ku-Add,Delete,Modify,Display info, report generation kwa VB6 zipo nyingi tu waweza google au pewa na wadau:

  number of tables is not an issue; identify ur entities and their relation then u can normalize/denormalize to your convenience during programing.
   
 14. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  I think you have to go back to your books! You seem to know too little to be advised!
   
 15. L

  Lutajoan Member

  #15
  Jul 2, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks kaka ur gud teacher, ngoja nitegeneze nikutumie uicheck kama nitakuwa sawa.
  have a nice day kaka.
  thank
   
 16. E

  Eliah Member

  #16
  Jul 3, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  If you have been given an assinment defenetly your teacher expects u to get an assistance from different sources u can like here in JF and even to brother google, the problem with you is that you are asking too much we unataka kutumiwa kila kitu wakati sisi wanaJF hatujui requirements za system unayotaka, kusema tu system ya shule haitoshi because different people wanaweza kukupa different systems za shule na still zisiweze kufufill your needs.kwa mfano mimi nina system niliyodevelop kwa kutumia vb as front end na msacess as back end na inatumika vizuri tu huku nilikoiuza but the same system if i give u it may not hold that is why wanaJF wanakumaind mshikaji
  so honestly you need to start, then people will help you when you stak. good day
   
 17. L

  Lutajoan Member

  #17
  Jul 3, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Okey eliah
  Ila kama ulinifahamu nilikuwa naomba msaada wakutengeneza na pia kujuwa nitengeneze table ngapi na requirements ni matokeo ya mitihani ndiyo cha zaidi, ila nimeanza nitakutumia ili unipe msaada zaidi na kuifanyia malekebisho pale utakapoona.
  nashukuru kwamsaada wako.
  gud day bro
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Lakini Mzee ruta hujasema unafanya project katika level gani ya shule yako.

  Kitu kingine unachotakiwa kujua student project should not be perfect. Student project sio project ya kumpelekea mteja. Vile Vile unatakiwa ujue pia Report ni muhimu sana katika student project. labda iwe vinginevyo kwa iyo yako.

  Kwa hyo basi U should Know how to write a good report/ Technical report. Kwenye hiyo report utanedeza stage na mambo uliyofanya .Utaeleza mambo gani umejifunza. Ni vitabu gani umesoma, wapi ulipata shida sana ? na ulijaribu kuitatua vipi? Ni kitu gani ungekuwa na muda wa kutosha labda ungefanya tofauti? n.k nk nk

  Dhumuni la project au assignment kwa mwanafunzi ni accesor aaone kama unajua ulitakiwa kufanya nini na kama ulitumia njia sahihi. yaani prject inawezesha mwalimu wako una kweli umeelewa concept za somo na unaweza kuzitumia katika mazingira halisi.

  At the end unaweza kuwa na system yenye interface mbaya na isyofanya kazi vizuri au isyo toa ripoti sahihi lakini ukiwa ume document vizuri unaweza kupata maksi nyingi tu sababu Accessor anajua kweli ulikuwa unajifunza na umejaribu kufanya kile kilichokuwa kinatakiwa kufanyika.

  So muhimu pia soma na kutoa muda kujua how to write a good project report ya hiyo School management system. usije ukakuta inafika deadline una Product nzuri lakini huna documentation yake. write everything u do, every problem u get, kwa nini unachagua VB au Ms Acess kwenye implimentation. Skiils, tool ulizotumia kufikia uamumzia kuwa table zako ni A, B C na D tu., nk nk nk
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tanzania tuna wasomi na watu wanajua vitu sana lakini kuna sehemu moja nadhani tunapigwa bao hasa kwenye presentation na report writing. Kitu hiki nilimbiwa na supervisor wangu kuwa project yangu na product yangu ilikuwa ni nzuri lakini documentation ( report/ presentation ) sio nzuri. Kwa hiyo nakushauri pia cheki webiste hizi ujue au upate mfano mzuri wa kuandika report yako. Unaweza kumuomba supervisaor wako akupe copy za best report za wanafunzi wa nyuma.

  Kama shida yako ni kafaulu inabidi ujue mgawanyo wa maksi wich kishule shule Report ina umuhimu sana according to my experince.

  Online Technical Writing: Technical Reports

  Vile vile unaweza kuchukua moja ya desa la report hapa then ukabadilisha wording kutokana na project yako
  http://www.io.com/~hcexres/textbook/finrepx1c.html

  Mfano hiyp page of content
  II. DVD TECHNOLOGY OVERVIEW wewe unaweza kuirename XYZ School Database Overview
  Development of DVD Technology wewe utarename na kusema Developing a Database

  III. CONSTRUCTION OF A DVD wewe unaweza ksema CREATING A DATABASE

  IV. and so on

  Sasa ushindwe mwenyewe maana naona tukiendelea tutaizidi kukuchanganya kingine ujue watu tuna ideas tofauti i can tell u this is wrong kumbe mwingingine kaona ni right. Wewe mwenyewe ndo unajua Supervosir wako anataka nini
   
Loading...