Naombeni msaada, nimetapeliwa

Pole sanaa mkuu.. lkn 84000 sio pesa kubwa sana ya kunutia mm nilianza biashara ya mpesa mzunguko ulikua mzuri saa yan commission kwa mwezi ina ridhisha but juz wapo wamenitapeli yn biashara isha kufa.. nimeenda polisi yn napigwa kalenda tu "tunafuatilia" jipe moyo
 
....Unampa Laki Nzima ???
 
Hapo imeenda hio....fanya tu namna ingine mkuu
 
Yani ushapigwa. Sijawahi kuelewa inakuaje mtu ana akili zako zote unaona tangazo mtandaoni unatuma pesa. Kama watu wanatapeli mitandao ya simu, ije kuwa mtu akukope pesa hajui hata location yako?
Mkuu ndiyo wasomi wetu walivyo utakuta huyu ni msomi wa chuo kikuu, tunawategemea wake kusimamia nchi baadaye kwenye mikataba.
 
Umepigwaje kk? Na kias gn
 
We ni mjinga sana,fb Kuna mkopo gani?
 
Kama ni kwelii bhasi Nimeamini Rais wetu ana kazi kubwaa sanaa kuiongozaa hii Nchii bora na urais awapee waarabu tu... Mtu kama wew ni wa kufungwaa jelaa kabisaaaa maana upumbavu wako ni level ya masters
 
Nenda polisi halafu mtafute mtu mpya namba mpya ajifanye anaomba mkopo..mkiwatrack hao mnakamata wote.na wakulipe pesa ulizotumia polisi
Hili nalo linahitaji utayari wa police mwenye dhamana, vinginevyo atatoboka pesa na aishie kupotea tu nchi ya ajabu sana hii ,
 
Asante nimefeli wap,,maana nilisoma hata comment za watu wakasema wamekopeshwa
Unapouziwa kiwanja hewa, huwaga kuna ofisi, mwenyekiti wa mtaa, wazee wajumbe, mashahidi.
Unaposhituka ndiyo hapo akili zako zinapogundua kuwa vyote hivyo ulivyovisotea na kuhangaika navyo ni hewa.
Hizo chat za watu kukiri kuwa walikopeshwa ni za maigizo, ni wale wale kwa mfano niliokutolea hapo juu.
 
Pumbavu kabisa wewe. Unatuletea hii habari baada ya kutapeliwa. Kwanini usingeleta hii habari kabla ya kufanya ujinga? Ulifanya Siri ili ufaidi peke yako. Endelea kuumia peke yako
 
mwigulu anaweza vipi kudai kodi kwenye mitandao ya instagram, twittwer, fb na youtube?
serikali itatumia kigezo gani kumtambua kila anaetangaza tangazo basi atakuwa amelilipia kodi?
je makampuni hayo ya mtandaoni yameshaingia mkataba wa kutoa takwimu za wateja wao kwa serikali ili iweze kufuatilia hao watakaokuwa wanaweka matangazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…