Naombeni msaada, nimetapeliwa

Hakuna watu wajinga km wa Facebook wale wanaandika bohifurendi!!!
 
Naye mhuni tu huyo 😂😂
 
Mama angu alilia cku moja na wale wanakupigia alafu wanakwambia wametuma hela kimakosa laki na thelathin bi mkubwa aliwafowadia elfu na moja ndy salio alilokuwa nalo kwa cm yaaani alipigwa kizembe tu sasa mkuu kunywa maji upumzike ubongo uli lirax upyaaa iyooo imesepaaaaaa
 
yaaani hapoo tusitianee Moyo my wangu upigwaa na kitu kizitoo kapumzikee kwa amaniiii
 
Sister hujawahi kufeli kiujumla Ni ushauri mzuri kwa watu wengine wenye uelewa mdogo kama jamaa hapo
 
na ww unataka akupe daaaaah nchi ngumu hii eeeh any way njoo uwalogeee bhana kwa mtaalamuui wageuke kuwa
 
Umeongea ukweli
 
Tayari hiyo
 
Mpka Sasa nimesha FUTA na fb kwenye simu yanguu

Kama umefuta na Fb , huyo mwizi utampata wapi
, hapa nisawa na kuipoteza ofc iliyokuibia, sijui kama unanielewa mkuu
 
Kwa hyo wewe na rafiki Yako ni hamnazo au hukumshirikisha?
 
Ukiwa na 'mentality' za kupenda mteremko, akili zinapotea
 
Mpka Sasa nimesha FUTA na fb kwenye simu yanguu
Yote Tisa shukuru umetapeliwa 84k
Maana Kuna watu wanatapeliwa millions na maisha yanaenda.

Jifunze kutokana na makosa.

Hapo itakufunza siku nyingne hutotuma pesa kirahisi rahisi.

NB: Hata kwenye maisha yako ya kawaida usimini watu kirahisi rahisi, especially masuala ya fedha. Hata hao waliokuwa wanacomment wamepata mkopo labda nao wametapeliwa, then wanataka na wengne waingie mkenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…