Naombeni msaada, nimetapeliwa

Wewe unataka hela halafu unatoa hela huoni kuwa una tatizo la akili
Hii saikolojia sijui ikoje. Ni wengi kweli kweli wantapeliwa hivi. Eti mtu una shida ya fedha unaambiwa utoe fedha kwanza ndiyo upewe fedha halafu huoni kama kuna tatizo. Kwa nini wasikate hizo fedha wakati wanakukopesha? Au kwa nini wasizi-iclude kwenye deni ili ulipe pamoja na deni? All in all, mtu atakukopeshaje wakati hajui sehemu ulipo na utarudishaje?
 
matapeli wenzio hao, wamekuwahi tu. unakopa ili ukopeshwe
 
mkopo bila dhamana na hamjuani
ngumu sana
 
Nenda polisi halafu mtafute mtu mpya namba mpya ajifanye anaomba mkopo..mkiwatrack hao mnakamata wote.na wakulipe pesa ulizotumia polisi
Matapeli wana kiasi kikubwa cha uelevu ndio maana wanaweza kutapeli watu wajinga

Hiyo namba yao inatumika only kupokea simu za watapeliwa na kupokea pesa. Hawaitumii wao kwa mawasiliano yao binafsi, hivyo tracking utabki tu kujua simu iko mtaa fulani buguruni malapa, lakini kila wakifuatilia wanawasiliana na nani ili ndio wamtafute hawakuti mwasiliano yoyote
 
MAZUZU hayataisha Nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…