Naombeni msaada nimetapeliwa

Bro enzi hizi ukame wa hela unakubali kufanya dili bila kuwa na bidhaa mkononi,huna hata rafiki ambae angekaa na gari wewe ukaingia bank kudeposit,au ungefanya muamala kwa simu.
au ndo one man army na ulitaka uwape surprise washikaji?
 
haswaaaaaaa.....
Angeleta maelezo ya jinsi alivyotapeliwa,
basi watu wange base huko...
Kaleta picha na masuala ya 'gari hewa'....
No way..
Watu wamebase kwenye picha na gari hewa...
Kinyume na hapo labda upige ramli..
Kabisa hakuna cha kuchangia zaidi ya kuangalia hizo picha na kutoa maoni ya kwenye picha tu.

Na ndio maana watu wana discuss miwani ,wana discuss kitambi ,wanadiscuss watu madali wanaobeba briefcase,simu za tochi na maji makubwa kutokana na hizo picha.
 
Muulize, Muelekeze ajieleze, afafanue huo utapeli ulitokej

Kama Kisa hajakifafanua, huwezi kumsaidia kaa kimya,..
Watu si washamuuliza sana aeleze ilikuwaje yeye amejibu story ni ndefu basi,sasa utamsaidiaje? Watu wameshauri basi arecord audio aiweke watu wasikilize kisha wamshauri nini cha kufanya...Kwa kuweka picha na kusema umeuziwa gari hewa haitoshi.
 
Watu wana vitambi kumbe waizi. Peleka picha Kwa polisi watakuwa wanawajua.
Hao wenye vitambi ndio hatari,halafu waangalie na machupa yao ya maji,haya yanawasadia kuondoa hofu,wanajifanya wametulia kumbe hapo ukipima BP inasoma 200/150,lakini kwa wale tunaojua matapeli ukiangalia behaviour zao tu utajua hawa ni watu wa dili...
 
nimecheka san
 
Sura ya pili hii inatokea mji wetu pendwa, Naona wahusika wamejikahusha.....
 
Yaani ukafanya biashara na sura kama hizo

Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli
 
Watakuwa vijana wa bavicha wanatafuta hela ya uchaguzi
 
No,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni... Huyu jamaa kwa hali aliyonayao sidhani kama anweza kuandika yote hofu imetanda na anakuwa busy kujua A-B tumsamehe atakuja. ila kama mtu unaweza kuunga dot unatoa tu msaada hao watu kuna watu mnawajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…