Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Sikio la kufa halisikii dawa. Kimbilia huko kwa muislam
Duh......kwel Counseling ni wito... Wokovu unafundisha watu kuwa Mwanana(kindly & humbly) hamnaga fanaticism


Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Situation kama hizi ndio zinazonifanya nichukie dini
Misingi ya dini ni kubaguana, zimeletwa ili tubaguane wenyewe kwa wenyewe, sitoruhusu huu upuuz unaoitwa dini uingie kwenye familia yangu

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
Duh......kwel Counseling ni wito... Wokovu unafundisha watu kuwa Mwanana(kindly & humbly) hamnaga fanaticism



Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app

Mkuu;
Unisomee kwanza maandiko yangu ya kwanza niliyo muandikia halafu usome alicho nirudishia. Ati kaona natoa povu. Ndo maana nikaona huyu hataki ushauri bali anataka watu wa kumwambia yale anayoyataka asikie. Yaani, nenda tumwaya hakuna shida bora mnapendana.
Paulo anamwambia Timoteo kuwa; Siku za mwisho watu wa aina hii watajitafutia waalimu makundi makundi..2 Tim 4:3 yaani wakutaka kuolewa visivyo nao watafute waalimu wakuwaruhusu kuolewa huko japo sio sahihi.
 
Umeibariki siku yangu....watu waache kudhihaki imani za watuu na maigizo yao

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
baba mchungaji ATAKUA KAULEWA MZIGO MI SIJAONA SHIDA HAPO WHAT IF MUNGU ANATAKA UOLEWE NA HYO.....FATA MOYO WAKO BANA....OLEWA MWAMBIE MCHUNGAJ AKUSAMEHEE ...KWA NN ANAJUDGE EEEH
 

Mfuate mumeo.badili dini umfate
u hama kanisa
 
Tafuta faraja ya moyo wako. Wokovu haukuzuii kuwa na furaha. Mungu ni huyu huyu mmoja anayeabudiwa na walokole na wasio walokole. Huyo mnayemwita mchungaji sijui nabii ni miongoni mwa wahuni tu kama jinsi walivyowahuni wengine wengi wao wanacheza na akili zetu kutimiza maslahi yao. Ishi na MTU umpendaye Dada yangu. Kama ni ulokole fanya jitihada za kumfanya afuate imani yako na si vinginevyo. Wengine tumekulia kwenye ukristo na uislam na tupo mpka leo. Tena tunaishi kwa amani kuliko wale ambao wazazi wao wote ni wa mrengo mmoja
 
Fuata kile ambacho unakiamini ktoka ndani ya moyo wako... Angalia future yako... Sikiliza moyo wako.... Amin kile unachoona ni sahihi lakin usisahau ulikotoka

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Aisee leo umekula maharage ya wapi?
 
Reactions: THT
Kweli tupu
 
Ubarikiwe sana. Nashukuru una moyo wa tofauti sana nimepata faraja. Asante sana

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kubwa zaidi duniani kwa sasa ni watu kutaka kuishi maisha ya kuwafurahisha wenzao badala ya wao wenyewe, usikilize moyo wako then amua mwenyewe, hao wachungaji hawatakuwepo kwenye maisha yako hapo duniani na wala hawatakuwepo kwenye judgement day hvy ni wewe na moyo wako, wewe na Mungu wako.....live your life, live it to the fullest cuz we only live once.
 
POLE NDUGU KWA WAKATI MGUMU.

NAKUPA DAWA ILA USITEME: Kimsingi kabisa bila kuremba mwandiko.Achana na huyu mchumba..tafuta wa DINI yako.UBONGO una nafasi mbili katika maisha yako LOGIC na EMOTIONS.

Kwa picha iliyopo mpaka sasa hutumii logic bali emotions zinakupelekea maisha yako kuwa magumu kiasi.Usioe au kuolewa kwa kutumia emotions pekeyake,tumia na logic pia.

Ikumbukwe huyo MCHUMBA sio kisiwa,ana familia,ndugu,jamaa na marafiki.Arabs for Arabs,Indians for Indians,Africans for Africans,same way hata katika masuala ya kiimani.Compatibility ni muhimu.Unaweza ukalazimishia sasa lakini tambua kuna muda na saa itafika complications zitaanza.

Imani sio suala la mzaha mzaha..mara mia umuambie mtu akafanye plastic surgery still jamii yake haiwezi kumchukulia kama rebel..lakini imani jamii ya mtu husika huweza kumtenga..(je raha yakubadili iko wapi?)

Katika maisha ya ndoa mapenzi hupungua taratibu sana.Mwisho utakuja jilaumu kwa hatua ulizochukua mwanzo.

Complication nyingine hii..kama kila mtu akiwa na dini yake..tatizo mtakuja kuwapa watoto watakuwa hawaeleweki wapo wapi.Wakienda kwa babu zao..ambao bado wapo na imani zao hawa watoto watapelekwa nyumba ipi ya ibada?..hawa watoto watapata mafundisho kutoka upande upi?.

NIKUHAKIKISHIE KUWA WANAWAKE/WANAUME WAPO TELE: WAKILA AINA..USIJITIE UPOFU.HUYO MWACHE AENDE KWA AMANI. PIA MASUALA YA NDOA NI MAAMUZI YAKO PADRI,SHEHE,SHEMASI N.K HAWANA MAMLAKA.
 
Reactions: THT

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…