Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Axante mkuuHamna kitu kinasumbua sana kama kutafuta ushauri hasa kama huo wakati tayari una maamuz yako nafsini.......kwahyo its like you just wanna some people to support you.....openly Madam mpaka umefika huku kuomba ushauri tyr una mgogoro wa nafsin kifupi huna amani na hilo....make its over sababu ye aliye tayr ipoteza nafsi yake Kwa ajili ya kristo ataipata lkn atakayeilinda ataipoteza.....anza upya utapata Mwingine......Jikaze kubali poteza Kwa sasa kile nafsi yako imekishikilia.....hutajutia maamuzi hayo
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Then kwa mtazamo huo subiri mlokole.Hayupo aliyetayari kufata dini ya mwenzake
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuuThen kwa mtazamo huo subiri mlokole.
kitu kingine jiulize uko tayari kuwa katika ndoa ya wake wengi? kumbuka hii ni sifa moja wapo ya wanaume wa kiislam kuo wake wengi na kuacha ni sekunde.
Nimeupenda huu ushauri ndo mzuri kuliko ktk hii threadUmechanganyikiwa siyo kwa sababu ya yaliyotokea kwenye huo uchumba, umechanganyika kwa sababu hutaki kuijua kweli!!...... ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru!!...... Kwa kifupi tu ni kwamba hayo yaliyokukuta ni gharama(cost) ya kuokoka!!..........wewe ulifikiri kuokoka kwako hutalipa gharama(cost) yeyote??.... labda nikukumbushe tu kuwa kila jambo zuri lina cost yake!!...... Hayo yaliyokukuta ndo cost yako ya kuokoka unayopasa kuilipa kwa hiyo tulia and bear it!!
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
je dini ya kiislamu inakubali ndoa ya namna hiyo? kila mtu na dini yake?unaolewa ww so ww ndo unatakiwa ujue nn unataka na sio padre
cha msing chunguza ndugu zake(wazaz wake) kama wanakubaliana ww kuolewa na kijqna wao
coz unaeza pata majanga hata kufiwa na mmeo then ukakosa msaada upande wa kiumen kisa hawakuwah bariki mahusiano yenu
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.
Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.
Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Ndio kila dini na Mungu wake.Waulize wachungaji wako hili swali 'Kila dini au dhehebu lina Mungu wake?
Ulokole sio dini.Dini ni mkristo kwa maana yakua mfuasi wa yesu kristo na ulokole ni utaratibu wa kiimani ndani ya baadhi ya madhehebu ya kikristo.mkuu amekosea wapi kusema yeye ni mlokole?
Ulokole sio dini.Dini ni mkristo kwa maana yakua mfuasi wa yesu kristo na ulokole ni utaratibu wa kiimani ndani ya baadhi ya madhehebu ya kikristo.[/QUO
Kwamaana hyo haumshauri aolewe na huyo ninja au mujahedeen??naweka ulokole kule naongea kutokana na baadhi ya watu nao wajua mara nyingi mnapoana dini mbili tofauti mnaishia kwenye conflicts...
upo tayari watoto wako kufuata dini ya baba yao?
kama unaamini kaktika Kristo unajisikiaje kizazi chako kutoa amini huko?
mama weka ulokole pembeni na waislamu hawatambui ndoa ya muislamu na mkristo weka kichwani hilo mama
ajipime katika hayo maswali niliyomuuliza halafu afanye maamuziKwamaana hyo haumshauri aolewe na huyo ninja au mujahedeen??