Yaani wewe uokoke kweli halafu uendelee na ujinga uliokuwa nao? Sidhani,,,wokovu ni personal property, na ukishaokoka makandokando yoote uliyokuwa nayo unayaacha maana unakuwa kiumbe kimya, yakale yoote unayaacha. Huwezi kuolewa na mtu mwenye imani tofauti ukabaki salama. Kama umeokoka kweli Mungu atakupa mume alieokoka, na kama ulikuwa unaendelea na mahusiano ya kingono na mchumba wako huyo, tubu na kuachana nae kabisaaa,,,Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Ukweli ni kwamba ww hujaokoka bali unasali kwenye kabisa la kilokole. Kama ungeokoka kweli ungefunga kwenye maombi hakika roho mtakatifu angekuonyesha njia juu ya uhusiano wako pasipo hata kushauriwa na mtu...Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Umenena vyema sana.. Hawa mabint hawa ndio wanachafua dini. Mtu anajiita ameokoka lakn anaendelea na uzinziYaani wewe uokoke kweli halafu uendelee na ujinga uliokuwa nao? Sidhani,,,wokovu ni personal property, na ukishaokoka makandokando yoote uliyokuwa nayo unayaacha maana unakuwa kiumbe kimya, yakale yoote unayaacha. Huwezi kuolewa na mtu mwenye imani tofauti ukabaki salama. Kama umeokoka kweli Mungu atakupa mume alieokoka, na kama ulikuwa unaendelea na mahusiano ya kingono na mchumba wako huyo, tubu na kuachana nae kabisaaa,,,
Believe me sasa hivi hutaona tatizo coz hicho unachokiita mnapendana kimekupofua lakini mbele yako naiona shida kuu kwa macho ya mchungaji,msikilize mchungaji kuna tofauti nyingi zenye complications kibao zitakuja kuarise mtakapo anza kuishi pamoja mfn majina ya watoto n.k unless uniambie unataka kubadili dini je ndugu zako watakubali?na ukifa utazikwa na ndugu au mume na utazikwaje?please my little angel think about this first dont be so fast pray for god he is the only one will make way and joy for you .thanksWasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Haya tafakari kati y Mungu na mchumba nani zaidi?hiyo nira tafakari yake ni unaweza kuishi n MTU yoyote na kushirikiana naye mambo yote isipokuwa usishirikiane naye katika kutenda dhambi,ikija kutokea tatizo mbele kengele y kwanza itakayo pia ni y mchungaji.Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Binti kama kweli ww umeokoka na umempokea yesu kama njia ya kweli na uzima basi nakushauri funga ktk maombi akuoneshe mume mwema.. Usifanye kwa tamaa zako,wala kwa kuogopa umri unakutupa mkono.Hayupo aliyetayari kufata dini ya mwenzake
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
nae watamuuliza "unadhani Mungu mmoja angeweza kusema huku oa wake 4 na huku mke 1"Waulize wachungaji wako hili swali 'Kila dini au dhehebu lina Mungu wake?
mkuu amekosea wapi kusema yeye ni mlokole?Ushauri mwepesi.Kwanza umekosea kusema wewe ni mlokole,sema wewe ni mkristo.Sasa ni hivi lazima ujue kua ndoa ni taratibu zilizoanzishwa na binadamu,na pia hizi dini hali kadhalika,kilichopo ni kuabudu,na kuabudu hakuna cha dini wala madhehebu na kupendana pia hali kadhalika.Sasa tatizo lilikuja baada ya kupendana kuingizwa kwenye mifumo yakiimani,hapo ndipo ubaguzi ulipoanzia,na ilo limesababisha kwa wengine imani kua na nguvu kuliko upendo na kwa wengine upendo kua na nguvu kuliko imani.sasa kama wewe uko upande wa imani kua na nguvu kuliko upendo fwata imani yako ila kama uko upande wa upendo kua na nguvu kuliko imani fwata upendo wako ila kwa ili lazima ujue nimakosa kubadili dini sababu ya mapenzi kwasababu mapenzi ya siku hizi hayana dhamana.Kwaiyo omba Mungu wako akuonyeshe njia ili unapofanya maamuz yawe ni maamuzi yaliyopata kibali toka kwake.Mimi huwa nashukuru sana kua na ndoa za serikali maana hizo zimekua msaada kwa wengi waliopendana alafu imani ikawa tatizo.Na wako wengi wamepita njia hiyo na hadi sasa maisha yanaendelea.
Aliyesema oa mke mmoja tu ni Paulo....Mungu hakusema hivyo!nae watamuuliza "unadhani Mungu mmoja angeweza kusema huku oa wake 4 na huku mke 1"
Sasa hapo ndipo tofauti inapoanzaAliyesema oa mke mmoja tu ni Paulo....Mungu hakusema hivyo!
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Tofauti ipo wazi. Huku kasema Mungu oeni wake 4 na kule kasema binadamu oa mke mmoja!Sasa hapo ndipo tofauti inapoanza
usiolewe naye nina ushahidi wa hao watu,watakuoa na AMINI ukishazaa ataoa mke mwingine kwani imani inamruhusu na hapo ndio utakuwa mwisho wako,kuna ka mkakati nilikasikia kuwa hawa watu wanahitaji kuzalisha wakristo then kuwaaacha kwani lengo lao ni kuweka idadi ya waislamu kuwa wengi,nakushauri japo watakuja kunitukana ila ipo siku utakumbuka maneno yangu,dada zangu watatu ni wahanga wa hii kitu,niliwashauri sana ila nyie mwl wenu ni kipofu mkipenda mnapenda kweli,yaani mkipenda mnapenda sana ila huwa mnajutia baadaye sana,kama we ni mtu wa imani omba sana na ufunge Mungu atakuonyesha la sivyo siku zako za majonzi zinahesbikaWasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Inaonekana jua limesha mchwea huyu...hata nyumbani kwao wameona bora aende tuu..usawa wenyewe wa Magu huu...hivi watu wanafanya mchezo na maswala ya ImanihMtihani huu,kwani walokole hua wanaruhusiwa kua na boyfriend? jengine wazazi wako sio walokole? hawanashida wewe kubadili dini au hawana shida wewe kua na huyu mkaka wa Kiislam muowane kwa kila mtu na dini yake au vipi?