Kwangu Dini na Dhehebu ndiyo kigezo cha KwanzaWasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.
Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.
Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Mchungaji anataka apewe kondoo yake, aichinje mwenyeweSasa kama wazazi hawana shida.. Huyo mchungaji inamuuma nin?
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.
Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.
Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.
SIKU ZOTE UMEKUWA MLOKOLE, WACHUNGAJI WAKO NI WALOKOLE, MMESHIRIKIANA NAO KWA MTAZAMO WA KILOKOLE, LEO UNATAKA WAKU SUPPORT KUOLEWA NA MUISLAM? HISIA ZIMEKUZIDI UMEACHA AKILI MAHALI KWINGINE DADA YANGU.
Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.
WAZAZI WAKO SIJUI NI DINI GANIA NA SITAKI KUJUA, ILA WEWE UMEKUWA WAENDA KWA WALOKOLE, INA MAANA ULIAMINI ULOKOLE, WEWE NDIO UTAISHI NA HUYO MWISLAMU, NA SIO WAZAZI WAKO, MI NINAKUHAKIKISHIA KITU KIMOJA KWAMBA: FURAHA YA NDOA IPO ZAIDI KWENYE KUISHI, SIO HISIA YA KUOLEWA ..... HAPO MUNGU NA IMANI SIO KIPAUMBELE TENA, KIPAUMBELE CHAKO NI KUOLEWA, MAISHA YA NDOA NDUGU YANGU KWA IMANI TOFAUTI WATOTO MWAWALEAJE?
Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
MIMI NISINGEOLEWA NA MWISLAMU HATA SIKU MOJA KAMA NI WEWE, ILA NA WEWE MPAKA MNA DATE MWAANZA UHUSIANO SIJUI IMETOKEAJE, MIMI NAKUPA 95% YA KUTOFURAHIA NDOA YAKO, UTANISAMEHE LAKINI MIMI NDO MTAZAMO WANGU, JIPANGE UPYA, WASIKILIZE VIONGOZI WAKO WA IMANI.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
OH, NDO NIMEIONA HII, KAMA UNAAMUA KUACHA IMANI NA KUOLEWA NAYE, NI SAWA, ILA USIJIDANGANYE KUOLEWA NAYE NA KUSEMA BADO UMEOKOKA, WAWEZA JIRUDI BAADAYE, BUT NOTE: NDOA NI VERY SERIOUS COMMITMENT, SIO KITU CHA MAJARIBIO DADA YANGU.
Nilitamani sana kuja inbox but kwa kua umenielewa then sina sababu ya kuja. Nakutakia maisha mema ya maamuzi.Axante sana mkuu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Nitakuja, ngoja nitulie cause baadhi ya mambo hushauliana na mtu ANA kwa ANA kuliko jukwaani humu.Karibu mkuu kama unalolote Niko tayar kupokea usihofu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Asante sana
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Msichana aliyeokoka hawezi hata kumuangalia muislam? acha uongo bhana mbona mi nawakaza sana watoto wa kilokole ss we kwa akili yko unadhani namkazaje bila kuniangalia usoni?
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kweli kabisa, mnaweza ishi vizuri siku mkigombana kila mtu anawaza imani yake ya zamani usiombe ukahama RC kisha ukarudi utapigishwa magoni mlangoni kila jpili tena mlangoni mwanzo wa ibada mpaka mwisho bado kuongea mle ndaniKwangu Dini na Dhehebu ndiyo kigezo cha Kwanza
Siyo lazma wewe ubadili dini au wewe ubadili dini kama mmoja hajaridhia mwenyewe
Nina imani hata mkiachana Huko kanisani utapata Mme na Yeye huko Msikitini atapata Mke
Haya Makanisa ya Kilokole na Jamii husika huwa Wanatowa adhabu ya Kumtenga Mfuasi wao kama tu
i.akipata mimba kabla ya ndoa
ii.akiolewa uislamu
iii.wanaingilia sana familiya yako ,yani kama wewe binti umeolewa na Mme wa dhehebu kama RCC ,AC na KKKT .
Lakini Pia ktk upande wetu wa pili sisi Muslim's tunamini asiye amini na kuwa Muslim basi yeye si Msafi na ni Khafiri
Sasa ikitokea umeowa binti wa kilokole lazma jamii yako husika itakupa maana umeowa Khafiri , kwa hiyo lazma aslimishwe ili maadili ya Uislam yakamilike
Je Yule binti alikotoka ktk jamii yake mwanamchukuliaje ?
Mimi binafsi naona tusijiendekeze sana kusema dini siyo kigezo , kiukweli kuishi dini tofauti kuna changamoto kubwa japo hata mkiwa dini moja napo kuna changamoto ila naomba uhamini zimetofautiana .
( ni mawazo yangu na si mawazo ya kiitikadi ya udini )
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Asante kwa kunielewa mambo kama hayo yanawapata wengi san kabla kuchukua hatua omba Mungu utapata amani, vishawishi huja wakati umesimama na Bwana kwanini asingekuja wakati hujamjua Mungu kwa undani omba amani na rehema utaponywa.Kweli mkuu sometimes usipotumia hekima unaeeza kupotea
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa sanaaDada yangu alidondoka hapo ! Mambo yakuendekeza Moyo kuliko facts. Maisha ya kiislam ili uyaweze lazima uukubali uislam! Bila kuukubali hutaweza kuendana nao.
Ni hivi dada alikacha familia akaslim sio kwamba aliukubali uislam ila alifanya ili asitengane na ampendaye! Akaolewa, Maisha yanaanza mama wa kiislam! Mziki hauchezeki, masharti hayabebeki, Shemeji mstaarabu ila ndio anasisitiza mkewe lazima aishi kiislam, Dada anajitahidi lakini kwa sababu sivyo alivyokuzwa ni mateso!
Hapo hakuongezewa mke -angezimia kabisa. Alivumilia lakini alishindwa.
Kama unadhani unaweza kuvaa viatu vya mke kwa maadili ya kiislam sawa. Kama huwezi wakati ni sasa ! Chukua hatua
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
We kweli mlokole kwa chimbuko...hasa pale nilipoanza kusikia mambo ya mlimani, siku tatu kavuNachelea kuseme ww sio MLOKOLE kabisa ila unasali na sisi.
~Dada Mungu hadhihakiwi hata kidogo na sisemi umemdhihaki hapana maana biblia inasema viache ngano na magugu vikue pamoja ndio km hivi.
~Narudia hujaokoka huijui kweli ww!! tena ungeijua gharama ya msalaba na damu ya YESU y ungetubu mapema sana dhambii haianzii nje huanzia ndani.
~Natamani km nikuhubirie yani kuna kitu kinachemka ndani yangu si cha kawaida.najiuliza una ROHO MTAKATIFU kweli?
~Mimi ni mlokole tena kwa chimbuko dada Mungu anajibu,usisingizie wachungaji ww biblia husomi au zipo tofauti yakwako inaruhusu??
Yeremia 17:5 inajieleza wazi.panda mlimani,hata siku 3 kavu,lia kwa Mungu majibu hayapo Jf yapo magotini mama.Ita jina lipitalo majina yote.
~dada iambie damu inenayo mema kuliko damu ya habiri inene mema juu ya hilo,ingia patakatifu pa patakatifu,kisogelee kiti cha rehema kwa ujasiri.amuru mbingu iachie majibu,fungua madirisha ya hazina iliyo sitirika ohooo jamani kwa YESU raha saaana.
~Nb;MUNGU HAWI RADHI NA WAPUMBAVU.
Sent from my SHV-E250S using JamiiForums mobile app
Sio kwamba alisema amekutana naye kabla hajaokoka, aliedit bandiko hakuwa amesema mwanzoni?Hata simuelewi,natakamani ningemuona face to face nna maswali mengii,haingiii akilini kua wewe mlokole na from day one uko na huyo jamaa am sure jina lake haitwi John wala Hillary umeshindwaje kujua mapema? haya tumuache ajiongeze mwenyewe..