Naombeni msaada kwenye hili

Uwiii jamani poleni sana aisee mimi iliwahi kunitokea lakini nikaomba msamaha nikasamehewa
 
Ilikuwaje ya kwako?
Nilikuwa nachat na watu mtandao flani hivi ilikuwa birthday yangu kuna wengine wakanitumia zawadi nikachukue sehemu dukani mwengine nilimwambiaga anipe zawadi, alafu wakati huo yeye mtu wangu alikuwa amenipa pesa kama 50k hivi nilimwambia nataka niende sehemu nipoe nile chakula kizuri nienjoy, sasa alivyokuja kuziona hizo sms nyingine na ndiyo ilikuwa mwanzoni mwanzoni hivi alimind sana aisee alinikasirikia siku 2
 
Hiyo App haipo kwenye simu yangu
no,
ipo ila sio rahisi kuijua au kugundua kwasababu huitumii wewe,

iko hivi,
naweza kuinstall hiyo app kwenye simu yako baada ya kukuazima niitumie kwa dk3 tu, nikafanya mambo yangu, halafu chap nikaiondoa hiyo app miongoni mwa apps kwenye screen ya simu yako bila kui-unstall, infact naihide tu ili usiweze kugundua na kisha nikaendelea kukufuatilia.

hakuna namna ya kukwepa hilo bila kubadili simu 🐒
 
Ngoja nibadili simu mapema sana hii italeta shida
 
Ngoja nibadili simu mapema sana hii italeta shida
infact,
itaendelea kukuletea shida,
lakini pia itamsababishia shida moyoni huyo aliefanya hivyo.
Chabo ni kitu mbaya sana, huwezi kua na amani hata nukta moja.

ni vizuri kufahamu kwamba,
dume lenye uhakika halimchungulii mkewe 🐒
 
infact,
itaendelea kukuletea shida,
lakini pia itamsababishia shida moyoni huyo aliefanya hivyo.
Chabo ni kitu mbaya sana, huwezi kua na amani hata nukta moja.

ni vizuri kufahamu kwamba,
dume lenye uhakika halimchungulii mkewe 🐒
Wivu tu hakuna kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…