Uchunguzi ni Kwa ajili ya maharamia kama sio miongoni mwao uchunguzi kwanini ukuumize kichwa kwasababu watachunguza ila hawata pata kitu, so why worrying ?Mimi nataka tuaminiane mambo ya kufatiliana siyo mazuri
Kuchunguzwa hakuna tatizo kama uko safi tatizo ukiwa na mambo mengi hapo Sasa ukihisi au ulikua uchunguzi lazima ukuumize kichwaUsijali kuwa huru ila akiunganisha kwenye PC au laptop 💻 itakuwa balaa , iliwahi kumkuta rafiki yangu kumbe mtu wake alishare WhatsApp yake kwenye laptop yeye hajui, tulienda ilikuwa krismas ile tukawa tunapikq yeye anachat na mpango wa pembeni then anafuta kumbe aalistukiwa jamaa akawasha laptop akawa anasoma meseji zake wanavyochat na huyo mtu alafu ana screen shot kabla hajafuta, kosa alilofanya nikuomba 30000 kwa huyo mtu alafu jamaa asubuhi alimpa 150000, jamaa alipokuja juu tukawa tunamtetea rafiki yetu, jamaa akaonesha ushahidi, na ndoa ikavunjika siku hiyo hiyo 😂😂
Awe muaminifu alafu sisi tufe na genyeKuwa mwaminifu tu kwake basi utakua umesolve
Hakika mkuuKuhakiwa ni kubaya sana.
Tuwe chonjo.
Asante sana mkuuEpuka kugusa link unazotumiwa hii itakuepusha na mitego ya hackers
Uhuni gani mkuupunguza uhuni.
Weka mbali na batoto badogo.Hakika mkuu
Gunia 2 za mkaa naziona.Uhuni gani mkuu
Mimi siuzi mkaa mbonaGunia 2 za mkaa naziona.
Hiyo App haipo kwenye simu yanguyou can do nothing ikiwa ameinstall app maaluumu ya kispy kwenye cm yako na yake bila wewe kujua na kisha kuzikonect kama vile unavyowasha data tu meseji zinaingia,
njia ni moja tu,
kubadili cm, vinginevyo anasoma meseji, voice notes na location utakazokuwepo bila wasi wowote. Huwez danganya 🐒
Oooh! Hapo basi atakuwa hajafanikiwa maana haishikagi hii simuInawezekana ila hadi atumie cm yako ku scan code
Mh hii inahusiana vipi na whatsapp mkuukwanza ni NDIO, INAWEZEKANA , Piga **21# uone kama kuna mtu anasomq hizo taarifa zako. Ukimaliza njoo inbox nikupe maelekezo
Kumbe asante kwa kunifahamisha mkuuKuhaki ninakojua mimi kwa whatssap ni mtu kuishika yeye, acount yako, akawa anai control yeye, yeye anawasiliana na rafiki zako anafanya anachokitaka.
.Sasa hii ya kuona unayafanya kwenye wasap hii siijui, na hiyo ksma ipo tutaita Spai hakha.
Mambo mengi sana mkuuUchunguzi ni Kwa ajili ya maharamia kama sio miongoni mwao uchunguzi kwanini ukuumize kichwa kwasababu watachunguza ila hawata pata kitu, so why worrying ?
Asante sana mkuuKama ni mtu Ambae upo nae karibu anaweza ku hack kwa njia ya kuscan account Yako, akifanikisha kuscan taarifa zinazoingia kwako zitakua zinaingia kwake pia.
Nb: weka password kwenye whtsap Yako.
Kama yupo mbali ni ngumu sana ku hack maan ili aingie kwenye account Yako lazima Kuna code zitatumwa kupitia namba yako, codes hizo hupaswi kushare na mtu yeyote. Ikitokea umeshare basi account Yako itakua hacked.