Mkuu fanya hivi kusanya hela hadi ifike dola 6800 ambapo kwa miaka mitatu au minne itakuwa imefika. Hapo utakuwa na miaka 54 au 55 kisha kwenye dola 6800 sijui upo nchi gani tuseme dola 1800 nauli ya kurudi bongo kisha dola 5000 ambayo ni sawa a milion 12 ya kibongo nunua bajaji moko milioni 7 na boda 2 kila moja 2 million jumla milion 11. hiyo milioni moko panga chumba na sebule
laki moko miez 6 laki 6 nunua godoro jiko masufuria ndoo ndala. Kisha anza maisha. Kila boda 1 inakuletea buku 7 kwa siku au elfu 50 kwa wiki na ukiwa nazo 2 ni laki kwa wiki wiki 4 una laki 4. Hiyo bajaji unaweza ukampa mtu anakuletea elfu 15 hadi 20 kila siku ambayo ni laki hadi laki na 40 kwa wiki kwa mwez laki 4 hadi 6 na ukiendesha mwenyewe inazidi hiyo elfu 20 kwa siku au laki 6 kwa mwez. hapo ukijumlisha una laki 8 kwa kila mwezi kisha una make huku unaangalia upepo unaendaje uendelee na hiyo biashara au uwekeze sehem nyingine. Kila laheri

sijawahi kuona muomba msaada kiburi kama wewe eti chakula kizuri sio nafaka