Dar karibu sana Bongo hyo 1500 mbona ndogo. Ila bora urudi tu nyumbani uanze upya ungejuaga ungerudi ukiwa na nguvu. Sisi wenyewe twapambana kibishi bishi maisha yakaendelea.
Naona umeguswa....Kidding.Watoto wako,wako in position kukusaidia?


Mkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.
Kama umekaa miaka yote hiyo na unaandika kiswahili fasaha kiasi hiki ukija hutakosa, cha kufanya, kama vipi njoo 2020, tutakuwa na uhaba wa wabunge.
Kama anataka kurudi aje 2026
Umeitoa wapi hii 1500?
Hakuna unachoweza kufanya bongo kwa hiyo 1800 kama hauna lolote.....Labda kuwa constructive mumsaidie biashara gani anaweza kufanya kwa kiwango hicho cha pesa?
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu



Nimeishia kucheka kama mazuri, $1800 real? Unataka uje kula bata bongo? Maana hizo ni bata unazotaka. Au umesahau sifuri moja mkuu? Nikupe taarifa tu hiyo pesa utapata kiwanja ambacho hakijapimwa pembezoni mwa mji.Hapo nauli inatosha?Hakuna unachoweza kufanya bongo kwa hiyo 1800 kama hauna lolote.....
Na kwa maelezo ya mtoa mada anataka aishi anavyoishi ughaibuni.
Kama ni mimi ningeamua nifie hapo alipo na hata wanaonijua wqsijue kisa cha kufariki kwangu.
Urudi sasa hivi kabla hiyo miaka haijafika hapo....Utaficha wapi sura yako?
Kwa nauli zinatosha....Ila atabaki na chenji.Hapo nauli inatosha?
Bongo kuna wanawake wanaoa? Mbona vijana MMU wanalalamika saana?Kama kurudi ulipaswa prior to 2015!
Kama utapata mwanamke wa kukuoa huku bongo hapo sawa! Unaweza kurudi!
Sawa unavyomshauri, lakini marafiki wangapi watambeba kwa 100% yeye pesa yake awekeze yote?! Kumbuka anayo $1800 tu!, anamahitaji ya nauli ya mizinguko yake na mambo yake binafsi. Ni ngumu kumpata, ingawa ndugu wanaweza kujaribu, kumu accomodate but won't be 100%. Kunagharama atazibeba mwenyewe. Hata chinga huja kutoka mtwara, bila ndugu Dar na wanafanikiwa, hata akilala nje kwa muda, he will make it, he should be able to handle difficulties like wengine.Best nimependa ushauri wako,mie namshauri km bado anao marafiki afikie kwa mmojawao,hio hela yote aweke kwenye biashara,ajiwekee muda let’s say miezi sita kuona km biashara itamfanya asurvive,mbivu na mbichi atajua baada ya miezi sita,akiona baada ya Miezi Sita hawezi Kukaa Tanzania then arudi alikokuwa.
Mzee anaanzaje upya.. Huyo abaki tu hukoDar karibu sana Bongo hyo 1500 mbona ndogo. Ila bora urudi tu nyumbani uanze upya ungejuaga ungerudi ukiwa na nguvu. Sisi wenyewe twapambana kibishi bishi maisha yakaendelea.
Urudi sasa hivi kabla hiyo miaka haijafika hapo....Utaficha wapi sura yako?
Siku hizi nimekua nunda aibu sina tena lol,I guess ukikaa nje zaidi ya miaka mitatu au minne then ni bora ubaki huko huko,unakua umepoteza logistics AMA coordinates za bongo,Ila kumiss bongo kupo bwana wee..hakuna hela Ila watu wako peace,ughaibuni kuna hela Ila watu wako stressed,it’s your choice unataka nini lol...Daby wewe ulikaa baada ya muda gani?
Jamaa mpuuzi sana huyu....anajua bongo pamechoka....hiyo 4.1 Mil...watu wanagigidia bia....na ipo kwenye waletSijakuelewa, dola 1800 ni kama 4.1 milioni tshs. Sasa unataka kurudi bongo na hiyo dola 1800 ule, ulale, ufanye kila kitu kwa muda gani? maana hiyo hela kwa masharti uliyoweka utatumia wiki mbili tu. Kama una lengo la kurudi halafu ukae wiki mbili tu inatosha. Karibu.
Mkuu
Kwa Umri Wako Rudi Home Uje Uishi Namna Mungu Atakavyokujaria
Maana Hadi Sasa Huko Ulipo Naamini Unapoteza Muda Tu Wala Huwezi Kuwa Na Jipya Zaidi
Kuhusu Dollars 1800 Kwa Tanzania Hiyo Ni Pesa Ndogo Sana Hasa Imeonekana Hutaki Kuoanda Daladala Ila Millions 4 Hata Gari Mfano Ukinunua Utaweza Kuweka Mafuta.
Tanzania Kwasasa Ipo Vema Rudi Tu