Naombeni msaada kurudi bongo

Sikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Sasa inakuwaje kwa muda wa miaka 26 uwe na dola 1800 tu ?, tatizo liko wapi ? maana nafahamu malipo ya huko ughaibuni huwa sio kama hapa bongo mtu analipwa mshahara wa laki 3 kwa mwezi, kama walivyosema wadau wengine hiyo dola 1800 ukifika hapa na lifestyle unayotaka utakaa nayo wiki mbili tu tena haitoshi, kwani umesema hutaki kupanda madaladala,
 
Mzee uku dunia nyingine sana utateseka labda njoo directly mpaka kijijin napo uwe na uhakika wakufika unakuta nyumba kama ni ya ukoo ukae umo uanze kilimo
 
Njoo ulime Bongo hapa..mimi nimeishi ujeruman miaka 13 mpka nimeacha watt huko ila na sijaona raha yyte ila baada ya kuja Bongo aisee nimenigewa..Bongo patamu sana na fulsa nyinginyingi tu.

Ujeruman sasa nimekuwa naenda likizo tu miezi 2 mitatu kusalimia watoto na kurudi Dsm kwenye jiji la raha.

Ushauri wangu nyumbani patamu rudi haraka hata ukilima mchicha utaishi tu.
Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
 
Nemo acha dharau basi, kwa hiyo unataka kusema Form IV yake na umri wake hawezi kupata hata kazi ya Ulinzi ??.
 
Usirudi sisi watoto wa shangazi yako utatulaumu bure hatukusaidii kama saving tena huku ni 2usd kwa mwezi hapo hujaandika matibabu ambako huku huwa 100usd ninakuhakikishia kama hutapata mshauri mzuri. You will die 2 months on your arrival
Lkn kuna usemi huku unasema
" Unakumbuka shuka wakati kumekucha"
Ila kama utaweza kukomaa kutumwa na vijana at your age of 40+ njoo uzuri kwenu ni kwenu ila sisi ndugu zako usije kutuachia radhi. Kumbuka lile eneo lenu liliuzwa kwa matatizo ilq taarifa hukupata kama pa kufikia jipange.
NI HAYO TU NDUGU YETU. Kumbuka kuja na mitumba ya viatu. Wasalam
 
Ukiweza pambana tafuta usd 15000 kisha rudi ukishindwa kabisa usikose usd 10000
Sasa atazipataje dola 15,000 ilhali ameshakaa ughaibuni kwa miaka 26 na anakwambia amechoka, maana yake ameshapambana kwa muda wote huo ameweza kusevu 1800 usd, utafanya aibe sasa
 
Mh au umemaanisha dola 18000?
Kama ni 1800 kwa kweli vitu unavyotaka hautapata ukizingatia hauwezi kula nafaka aisee,na unataka gari
 
We mzee usijidanganye kurudi bongo na hiyo senti yako. Utakuwa umekaririr kwamba wabongo maskin ukadhan maisha bongo ni simple. Usidanganywe bora ubaki hukohuko ujifie kwa kuchelewa. Ukija huku utafuatiliwa na hivo vidola vyako had vipotee halafu ufe kwa stress. Pole bro.
 
Alivyovimba mi nadhani kasahau sifuri moja,atakuwa kamaanisha doll elfu kumi na nane,kama ni 18k usd aje tu,ila nafaka lazima ale,nyumba apange bei nafuu aanzishe biashara awe serious amalize uzee taratibu
 
Unaomba msaada jinsi ya kurudi home,kwani uliendaje huko ughaibuni
Papo hapo unataka uhakikishiwe kuwa unaweza ukala vizuri,maziwa fresh mara gari ya kutembelea

Mhhhh!!!ndio maana mungu hakukujaalia kufanikisha huko maisha tangia enzi za 1990’s
Vingenevyo ungenyea watu vichwani
‍♂️
 
Jamaaaa anatfta kiki ....izo kauli ake mlizisoma fresh ...........

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
Sasa mzee usd 1800 si hata hajafika huku imeisha ni bora akafia huko huko
Sasa atazipataje dola 15,000 ilhali ameshakaa ughaibuni kwa miaka 26 na anakwambia amechoka, maana yake ameshapambana kwa muda wote huo ameweza kusevu 1800 usd, utafanya aibe sasa
 
Ndugu pole, mimi naona kwa mtazamo wang kwamba mbona wat wako huku wanaishi maisha ya mlo mmoja kwa siku... Alf ww unatak maziwa kwel hapo sijajua ila msaaada ni kwamba kama hukp unaishi vyema baki tu huku maisha sio kabisa..... Skia kwa wengine sio ikufikie... Asante Mungu akusaidie.... Ni ushauri tu lakn
 
Huwez kwnda kokote na m4.baki uko af inanonekana we mkuria na upo bonge sema unazngua 2 izo ra ra umezjuaje maana zilianza juz tu
 
Sasa hebu sikia Mzee huku life sio kabisa, Uncle kabana cha msing jipange sana au huku huku ndio ufia maana miaka 51 bongo utakufa siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…