Naombeni msaada kurudi bongo

Naombeni msaada kurudi bongo

mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.
Ndomana ukawa na kiasi hicho myaka yote hiyo.
Kwa mtindo huo madem kweli utawagonga watakuogesha kama mtoto ujue tu mwezi hauta isha hesabu itakata utafukuzwa kama paka mwizi ndo utakumbuka wanaokushauli ubaki huko
 
Mkuu baki huko huko tu,ukirudi huku miaka 60 hutafikisha,utakuwa na msongo wa mawazo maisha ya bongo tofauti na zamani
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
$1800 huku anashika teen kwenda kulipa ada ya shule ya mwaka mmoja tu.
We baki huko mzee, huku utakuja kuwa ombaomba mitaani
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Ati USD 1,800. Daah yaani wewe hata box hukuweza kubeba? Wenzio wakija tu kusoma huko na box wanabeba wakirudhi huku wako vizuri. So wewe toka 1992 ni miaka 26 mzee? Huku Bongo maisha ni magumu naomba tu usiwaze kabisa kurudi kwa umaskini huo uliokuwa nao. Hata ndugu zako watakukimbia kama wewe ulikuwa huwajali kwa miaka yote 26 uliyokula bata nje.

Halafu eti unachekesha eti uishi comfortable? Maziwa lita ni 3000, pazuri pa kulala ni wapi wakati hujajenga nyumba yako? Daladala tena kwa siku hizi haitoshi hela mbuzi yako hiyo - bora useme upande baiskeli ya shamba boy kwa kumwazima siku ambayo hakati majano ya ng'ombe, chakula kizuri utakipata kwa mama niwekee na kule ni nafaka tupu zimejaa. Hvyo baki tu huko huko.

Dahh 26 years wenzio wanakaa kwa adabu hata wanaoa huko na kupata uraia tena kwa miaka hiyo ilikuwa ni rahisi sana. Utakuwa na matatizo ya kujituma kufanya kazi. Kuna wakati nilisafiri kwenda Uholanzi kwa kozi fupi sana na kule nilikuta waafrika ambao ni wanafanya kazi za ndani tu tena kwa masaa kwa siku anafanya nyumba mpaka nne na pesa yake ni kubwa tu EURO na mpaka nilitamani nibaki huko maana kwa mwezi anatengeneza pesa ndefu mno kushinda mkurugenzi mkuu wa taasisi Tanzania. Unless uthibitithe kuwa una ugonjwa unaokuzuia kufanya kazi.
 
mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.
Teh teh teh! Safi sana karibu tena Tz teh teh!
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu

Hyo hela inatosha simu moja siku hizi
 
mtafte Lemutuz akuelekeze njia ya kurudia, ukifika na io pesa ako ya ngama ntafte twende bar moja inaitwa kimboka ina madem wa bei chee, kuhusu kupanda daladala usiogope kuna gari ipo tutatumia hadi dorali zitapokata, nadhan utafurahia mwisho wako mzee wangu
 
Mkuu kuna tatu mzuka unajichapa na $1800 kam mtaji then unajishndia 200k+nyumba Bongo uku mshiko njenje......just kiddin😜😜😜 ila bila shaka upo ughaibuni 3wc ila kam upo US/Europa/Australia wa io myaka from1990's ad leo una $1800..Kwa kwel kune umama/uanaume wa dar umepitilza....But stop thinkin twice cabron!! jus bringback yo flubby chubby ass over here...kolomije is yo home ese..jus comeback we'll ain't laugh at 😏😃😊😄😀😁😂"..Said by Theodore Roosevelt 1905
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Njoo tuburudike na Tbc
 
Gonja Maole ! dah! kule si mchezo.. namnani havae hadi utamani kurejea Tz au na huko wameanza mambo ya uhakiki?
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Hujaserereka na kuteririka vizuri (Msemo wa Mwanazuoni GENTAMYCINE) Utueleze upo nchi gani na lini unataka kurudi. Tukupatie data za mzee JIWE
 
Utateseka mkuu...Hapo una chini ya Tshs milioni 5 yani utaishia kulipa kodi ya miezi sita na kununua vyombo vya ndani. Nakuhakikishia jipange walau uwe na walau USD elfu 7 uje uwekeze kimradi vinginevyo sikushauri urudi kwa kiwango hicho unaweza kukata tamaa ya maisha na unaweza hata kujidhuru

Mradi labdaaa dukaa la mangi
 
mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.

Usharudi wwe mzee tukuonyeshe bar zenye mademu wakali
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Malizia tu umri wako huko huko ndo kilichobak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una mawasiliano na ndugu huku, jenga kwanza angalau ujiondolee bughudha za kodi ya nyumba.

Back
Top Bottom