Naombeni msaada kurudi bongo

Watu kama wewe wanapenda raha sana sasa maziwa kila Siku Nyumba na chakula kizuri bank una 1800? 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Labda uje kuosha vyombo hotelini udoee masalia.
 
Sasa mtu ana hela stress za nini?...
 
Bora mkuu unasema ukweli, umedadavua vizuri!

Mkuu una familia huko?
 
Watakuwa wanakosea timing! Dogo Mmoja wa kitaaa anauza GAME pale Mlimani city, nilimuuliza why wanafunzi wa vyuo jirani wanajaa sana maeneo yale? Wana purchasing power ya kutosha pale? Akanambia wale boys na mabeg yao mgongoni wanawinda Majimama!
Duuuh.....kweli mjini kugumu!
 
Ndugu wana JF wengine tukoje, huyu ndugu kaomba msaada wa mawazo, na katueleza ukweli wake, mbona wengine tunamjibu visivyo.

Heshima ni kitu cha bure
Uwoni kaandika majivuno chini yaani ni maskiji jeuri
 
We Rudi Tu Ila ujitoe fahamu kama Let mutuz,ikiwezekana unga naye urafiki kabisa ......mwenzio alirudi na hela ya kutosha kununua laptop tu
 
Kwanini watu ambao hamjawahi hata kwenda Namibia au Sri Lanka ndiyo mnajibu sana tena kwa hasira? Nani amewaambia maisha ni kufanya saving tuu bila ya kuishi? Mbona wazungu wengi hawana savings kabisa bank?

My weekly revenue and expenditure hii hii hapa.

Mshahara 500

Nyumba (3 bedroom) -115
Income Tax and social security -80
Energy Bill -22
Kula vizuri, family of 4 (siyo kula grain na mahindi) -80
Pocket money watoto wawili -30
Nauli za shule watoto wawili -18
Leisure club (swimming, hunting, etc) watoto wawili -20
Car Insurance -30
Car Fuel -35
Home broadband and Cable TV package -6
Mobile phone (parents) -12
One weekend meal out -50

Saving 2

Hapo bado kwenda sinema
Bado kupeleka watoto Disney Land

Sasa watu ambao wamishindwa kusafiri hata kwenda Msumbiji wanaleta hasira bure humu.
 

Acha dharau mkuu...hao wenye hasira ndio wanakupa picha vizuri au ulitegemea Majibu ya upande mmoja???..mie naona ushukuru Mungu kwa watu km hao,afu una nini na nafaka? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hutaki kuzisikia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona una hasira kali sana?
Hasira yote hii ni juu ya nini sasa?
You need a chillout pill bwana mdogo.
Wengine mumenipa ushauri murua asanteni sana. Na wale mumekasirika sana samahani sana.
Sorry mzee dereva nilitaka kukuambia tu kwa hela uliyonayo bongo hata hiyo nafaka hasa mchele hutakula utakula mihogo na maji kila siku mwisho wa siku utakuwa mnene Kama Kagame.
 
Mpuuzi ww! Umeshindwa kutoboa tokea 1992 leo bongo 2018 utaweza? Nakushauri kaa tuu huko hiki kipindi kidogo cha maisha yako yaliyobaki vizuri huko huko... hakuna maziwa acha ujinga na hatuli nafaka... akili yako inaonyesha iko very weak bongo hutaweza
 
Mkuu hizo dollar ulizoandika ni kusema umesahau kuweka sifuri kadhaa mbele au!?

Ila kama ulichoandika upo sahihi kwa hela hiyo waweza kurudi nakuanza biashara ya bodaboda. Japo umri wako ushakwenda itakupasa uifanye mwenyewe maana ukisema uweke kijana jua utaliwa na mwisho wa siku uwe hauna kitu kabisa
 
We mshamba yaani dola 1800 uje ule bata bongo!! Yaani unatuambia kuwa kwa sababu unadola ukifika Bongo tukutetemekee au? Ule upenyo wa kuja na Rambo unaondoka na Tanzanite Magu ameshauziba, waulize ACACIA sasa wewe ndo unakuja kuishi afu eti upande bito yako na umiliki nyata, hii hadithi imeshaisha. Njoo uone kilichomfanya nyoka kumshawishi maza kula apple!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…