Hiyo story ya sanduku kuibwa ndio naisikia. Ila kwa hao waliochukua kichapo kwa kuiwahi lisidondoke mie nitaona kwamba wao walijua kabisa halipaswi kuguswa, ila hao "walioliiba" hawakujua halipaswi kuguswa. Sasa Mungu kama anahukumu kwa haki, kwa nini ampe kichapo mtu ambae hajawahi kuambiwa usiliguse katika mazingira yeyote?1.wana wa israel wamewahi kuibiwa sanduku la agano baada ya kuchezea kichapo kikali sana ila baadaye walifanikiwa kulirudisha, utata ndo unaanzia hapo kwenye kulirudisha, wakiwa njiani wamelibeba lile sanduku ilitokea ajali ndogo ambayo ilipelekea lile sanduku litake kudondoka hivyo bwana mmoja akaona ni vema akaliwahi ili lisidondoke ila cha kushangaza alikufa pale pale kwa sababu yeye haruhusiwi kulishika sanduku hilo
Swali langu likawa ni kwa hao walioliiba walikua wamelibebaje bila kuwa dhuru au ndo ilikua ni mipando ya mungu tu?
2.yesu akiwa mlimani alitokewa na watu wawili ambao ni musa na elia hali iliyopelekea simion kumwambia yesu wajenge vibanda vitatu, tukirudi nyuma tunaambiwa roho ya elia ilikuwa ndani ya yohana mbatizaji(swali litengeneze mwenyewe)
Kwaiyo hilo tukio la musa na elia kumtokea yesu halipo kwenye biblia?Hiyo story ya sanduku kuibwa ndio naisikia. Ila kwa hao waliochukua kichapo kwa kuiwahi lisidondoke mie nitaona kwamba yeye alijua kabisa hapaswi kuligusa, ila hao "walioliiba" hawakujua halipaswi kuguswa. Sasa Mungu kama anahukumu kwa haki, kwa nini ampe kichapo mtu ambae hajawahi kuambiwa usiliguse katika mazingira yeyote?
Hsyo ya Elia sijui vibanda nadhani ni maono tu, sio jambo halisi. Musa na Eliya walishakufa sku nyingi!
Ukitaka kuielewa biblia lazima kwanza ujue kuwa Mungu yupo ndiye aliumba vitu vyote na kumweka mwanadamu aitawale dunia.Usisome biblia kama kitabu cha hadidhi wala usifanye utafiti wa maneno ya kitabu kama ni kweli au sikweli.Ukifanya hivyo utakosa imani ambayo inatuunganisha na Roho mtakatifu.Kuelewa kunahitaji imani kwanza kwamba Yesu ni mwokozi wetu.Habarin wakuu
Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani..
Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo.
Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu wanaopenda sana dini hivyo ikapelekea na mimi kuanza kuichimba biblia kisawasawa na nikafanikiwa kusoma vitabu vingi ambavyo viliniacha na maswali mengi sana
1.wana wa israel wamewahi kuibiwa sanduku la agano baada ya kuchezea kichapo kikali sana ila baadaye walifanikiwa kulirudisha, utata ndo unaanzia hapo kwenye kulirudisha, wakiwa njiani wamelibeba lile sanduku ilitokea ajali ndogo ambayo ilipelekea lile sanduku litake kudondoka hivyo bwana mmoja akaona ni vema akaliwahi ili lisidondoke ila cha kushangaza alikufa pale pale kwa sababu yeye haruhusiwi kulishika sanduku hilo
Swali langu likawa ni kwa hao walioliiba walikua wamelibebaje bila kuwa dhuru au ndo ilikua ni mipando ya mungu tu?
2.yesu akiwa mlimani alitokewa na watu wawili ambao ni musa na elia hali iliyopelekea simion kumwambia yesu wajenge vibanda vitatu, tukirudi nyuma tunaambiwa roho ya elia ilikuwa ndani ya yohana mbatizaji(swali litengeneze mwenyewe)
Maswali ni mengi mengine nitayaweka kwenye comment.
Ikabidi nizame kwa weslamu au mnyaazi.
Kiukweli kile kitabu ni kigumu sana kukisoma kutokana na mfumo wake wa uandi na ukitaka ukielewe inatakiwa usome kwanza kitabu cha mithali halafu ndo uanze kusoma quran
Ukizichambua hadithi hata hizo sahih utaona kabisa kuna fix nying zimewekwa
Wakati Musa na Elia wanamtokea YESU huyo yohana si alikuwa ameshakufa Kwa kukatwa kichwa??Kwaiyo hilo tukio la musa na elia kumtokea yesu halipo kwenye biblia?
Hahaha 😂🤣.Tabia ya kuhama makanisa anayo secretarybird ambaye alitaka kuhamia kwa ufufuo bahati mbaya likapigwa pin
Sumesilimu baada ya Faiza kukupa tende wewe,Hahaha 😂🤣.
Mkuu mi ni mkatoliki na Sina mpango wa kuhama.
Faiza nilimhadaa tu ili anitunuku tunda la katikati.Sumesilimu baada ya Faiza kukupa tende wewe,
InnalilahFaiza nilimhadaa tu ili anitunuku tunda la katikati.
RajounInnalilah
Unapoambiwa Roho ya Elia, mfano tuseme ukiambiwa nguo hii aliyoivaa fulani "tumwite" Ernest, hii ndio nguo aliyokuwa akiivaa Petro - Iko wazi.
Sijasema hivyo. Naona huelewi maana ya maono, visions. Soma Daniel au UfunuoKwaiyo hilo tukio la musa na elia kumtokea yesu halipo kwenye biblia?
Agano jipya nimemaliza vitabu vyote, ukija agano la kale nimebakiza vitabu vichache sana hasa vile vinavyofanana na quran kimuundoSijasema hivyo. Naona huelewi maana ya maono, visions. Soma Daniel au Ufunuo
Sasa kwa nini unashindwa kuelewa jambo dogo kama vision ya Musa na Elia? Labda ni kwa kuwa unasoma Biblia intellectually, sio spiritually.Agano jipya nimemaliza vitabu vyote, ukija agano la kale nimebakiza vitabu vichache sana hasa vile vinavyofanana na quran kimuundo