Naombeni mnishauri namna ya kuimarisha afya yangu

Naombeni mnishauri namna ya kuimarisha afya yangu

charlesfundi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
229
Reaction score
304
Habarini sana jamvi!!

Nilikua naomba ushauri kuhusu afya yangu week kama moja ilo pita nimeugua malaria,typhoid,minyoo,brucella na nilikua nimemaliza dozi ya ghono.

Nimetumia Madawa nikaribu nayamaliza ila bado mwili wangu umechoka choka viungo vya mkono na miguu vinachoka usingizi unakua wa shida pamoja na macho vision imekua sio nzuri.

Sasa nashindwa kuelewa ni kwanini nakua nachoka pamoja na na macho kua sensitive sana na mwanga au upepo yanakua yanasumbua na joints pia zinakua zinachoka naombeni ushauri ndugu zangu niimarishe afya.
 
jitahid kula vyakula vya asili, mboga majani kwa wingi, karanga, magimbi, mihogo nk Note; visiwe vya kulost mchemsho, siku 7, leta mrejesho!
 
pole sana mkuu Mungu atakuwezesha naamini, pia usiache kunjwa maji mengi
 
Aaah mkuu na ulipewa dozi ukatumia? Kama ulipewa dozi ukatumia jua kwamba huyo mdudu karudi tena kutia kambi.fanya ukapime h pylori mkuu halafu kuna dozi yake japo zipo tofauti tofauti.
 
Aaah mkuu na ulipewa dozi ukatumia?kama ulipewa dozi ukatumia jua kwamba huyo mdudu karudi tena kutia kambi.fanya ukapime h pylori mkuu halafu kuna dozi yake japo zipo tofauti tofauti.
Inawezekana karudi mkuu maana kinyesi nakua natoa design kama cha mbuzi asee
 
Nenda kapime mkuu ujiridhishe tena pima kwa kutumia hicho kinyesi chako na sio damu.tatizo madkt hawana utaalamu wa kumpatia dozi sahihi ya hii kitu aisee.
 
Nenda kapime mkuu ujiridhishe tena pima kwa kutumia hicho kinyesi chako na sio damu.tatizo madkt hawana utaalamu wa kumpatia dozi sahihi ya hii kitu aisee.
Sawa mkuu asante kwa ushauri
 
Kwahiyo mkuu hayo maradhi yote ulikuwa nayo wewe mtu mmoja

Mbona kama vile hauko sawa maana naona ulikuwa mpaka na Gono

By the way Nina wasiwasi sana na hospital uliyotibiwa kama ni ya private huenda waliamua kukugeuza kitegauchumi
 
Hahaha daah we acha tu bro nihatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom