Anthony peter
Member
- Feb 16, 2011
- 18
- 0
Nahitaji kujiunga na chuo cha ubaharia lakini cjui wapi pakua nzia mwenye ulewa na hili anwani za chuo na mahali kilipo. Unaweza kunisms namba zangu ni 0789797889 au 0755433110
Ngoja wataalam wa hayo mambo watakuja. Ila fatilia kwanza ujue masomo wanayotaka. Mf. Pilot unapaswa usome Pgm.
kwa kuongeza nipata hizi adresscna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar.
kwa kuongeza nipata hizi adress
Principal, Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), P.O. Box 6727,DAR ES SALAAM.
ni kweli kabisa, kama umri wako unaruhusu nenda