Naenda kusoma BAF Mzumbe na sijawahi kusoma Account. Naombeni ushauri

Domalizer

Member
Jul 26, 2023
5
3
Wakubwa zangu ambao mmeshatangulia naombeni ushaur naenda kusoma BAF mzumbe lakin me diploma nimesoma insurance and risk management.

Sijawahi kusoma account pia naenda kumeet na challenge ya watu waliosoma ECA na comb za biashara advance.

Nahitaji ushauri juu ya hili.
 
Kuna watu wamesoma PCM na walisoma hiyo BAF na sasa ni wahasibu wazuri tu.

Mkienda chuo wote mnaenda kuanza moja historia ya fom6 sijui olevo waachie walimu zako chuo hakihusiani na sekondari.
 
Cha msingi komaa tu mpaka tone la mwisho"There is no gain without pain" pia unapopata changamoto share na wanaojua upate ufafanuzi.

Kozi kama hizo watu wa PCB,PCM ,CBG wanapiga fresh na kutoboa.....la msingi ni kutambua kilichokupeleka tu Mzumbe
 
Nenda kakomae dogo. Chuo mnaanza upya wote.

Jiandae tu kufanya mitihani migumu kuliko ya chuo ulichotoka.

Maana BAF Mzumbe ni kozi yenye cream of the nation. Ni kawaida kusoma na watu walioingia kumi bora za taifa kwenye mitihani ya form 6 na form 4.

Hivyo walimu wa Mzumbe wanatunga mitihani migumu ili iendane na vichwa vya taifa
 
Nenda kakaze, chuo hakuna ugumu ikiwa utakua makini na ulicho endea,
Nakutakia kila la kheri.
 
Back
Top Bottom