Naombeni mnisadie

Anthony peter

Member
Feb 16, 2011
18
0
Nahitaji kujiunga na chuo cha ubaharia lakini cjui wapi pakua nzia mwenye ulewa na hili anwani za chuo na mahali kilipo. Unaweza kunisms namba zangu ni 0789797889 au 0755433110
 
kuna chuo cha bandari ila sina uhakika kipo mitaa gani..jaribu kufuatiria.
 
Ngoja wataalam wa hayo mambo watakuja. Ila fatilia kwanza ujue masomo wanayotaka. Mf. Pilot unapaswa usome Pgm.
 
cna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar.
 
Nenda temeke-tandika mwisho.kipo hapo,kozi operetion issue,clearing/fwd,na zote zinazohusu mambo ya marine.
 
cna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar.
kwa kuongeza nipata hizi adress
Principal, Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), P.O. Box 6727,DAR ES SALAAM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom