Ibrahim Labia
New Member
- May 28, 2015
- 3
- 2
chipsi pembeni yupo anaeuza. yeye hana mishikaki na wateja wengi huja wakitaka chipsi kwa mishkaki
Mkuu sasa,unasubir nini kutumia fursa au nafasi hyo.maana kama ni kwel wateja wapo,wew ongea na jamaa muwe kam muunganiko ila kila m2 na biashar ake.chipsi pembeni yupo anaeuza. yeye hana mishikaki na wateja wengi huja wakitaka chipsi kwa mishkaki
ukitaka mishikaki iwe laini ikande na papai lililoiva then weka pembeni kama nusu saa choma mishkaki yako
andaa nyama yako weka viungo muhimu kama tangawizi limao na chumvi kisha weka wisk aina ya grants na konyagi kisha iweke juani kwa muda then jiandae kwa kuchoma.hata mim mwanzo ilikuwa changamoto kwangu lakini nilienda sehem nkala nyama choma tamu sana nlipoouliza ndo wakanialika wakat wa matengenezo nkashihudia...na nyama inakuwa haina hata uchungu....Jamani mwenzenu nina jiko nimenunua la kuchomea nyama,lkn kila nikichoma mishkaki haina ladha na ni migumu,wenye utaalam juu ya hili nisaidieni plz
Wengine wanachukua hiyo vinegar wanatia ajina motto.Roweka Na vinegar inakua lainiiii
Nahitaji kuanzisha biashara ya mishikaki maeneo ya stand naomba kujua sehem ninayoweza kuwa napata nyama na pia sehemu wanapouza vijiti na Bei zake na yoyote anijuze changamoto za hii biashara
Autie na kachumbari tuone kama Udenda utatoka🤣Tuone picha ya mshikaki uliochoma mkuu.