Naombeni mnifundishe jinsi ya kutengeneza mishkaki mitamu na laini

chipsi pembeni yupo anaeuza. yeye hana mishikaki na wateja wengi huja wakitaka chipsi kwa mishkaki
Mkuu sasa,unasubir nini kutumia fursa au nafasi hyo.maana kama ni kwel wateja wapo,wew ongea na jamaa muwe kam muunganiko ila kila m2 na biashar ake.

So unakuwa pembeni yake tu hapo na jiko lako na unapanga bei yako then wa chpsi anamwandalia mteja pamoja na mishkaki yako uloandaa then biashar inafanyika vizur kabisa,mana hata haihitaji pesa ming.
 
Jamani mwenzenu nina jiko nimenunua la kuchomea nyama,lkn kila nikichoma mishkaki haina ladha na ni migumu,wenye utaalam juu ya hili nisaidieni plz
andaa nyama yako weka viungo muhimu kama tangawizi limao na chumvi kisha weka wisk aina ya grants na konyagi kisha iweke juani kwa muda then jiandae kwa kuchoma.hata mim mwanzo ilikuwa changamoto kwangu lakini nilienda sehem nkala nyama choma tamu sana nlipoouliza ndo wakanialika wakat wa matengenezo nkashihudia...na nyama inakuwa haina hata uchungu....
 
Nahitaji kuanzisha biashara ya mishikaki maeneo ya stand naomba kujua sehem ninayoweza kuwa napata nyama na pia sehemu wanapouza vijiti na bei zake na yoyote anijuze changamoto za hii biashara.
 
Nahitaji kuanzisha biashara ya mishikaki maeneo ya stand naomba kujua sehem ninayoweza kuwa napata nyama na pia sehemu wanapouza vijiti na Bei zake na yoyote anijuze changamoto za hii biashara

Nenda Mabibo sokoni utakuta nyama ishachomekwa kwenye Chelewa tayari ukifika ww ni kuchoma tuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom