Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

Superficial

Member
Nov 25, 2023
62
104
Wanajamvi najua itakuwa strange kidogo, kwasababu kila mtu katika maisha yake kuna kitu anaitaji kuki achieve.Na mimi kiukweli natamani kupata european woman wa kuzaa nae achana na io mi shangazi hapana kwakeli ni wale age ya kawaida tu.

Naisi hii ilisukumwa sana na mamdogo angu ambaye alibahatika kuzaa na European man,walibahatika kuzaa watoto wa 3 wa kike kiukweli wale madogo wapo 23, 25, 27 nimewazidi kidogo wote ila siku nilipokutana nao nilidhani sio ndugu zangu kwasababu walivyo nadhani wote tunaelewa light skins walivyo na mimi nikawa na shauku ioio baadae.

Sasa basi nisiwachoshe sana ila kiukweli naomba kujua kwa wale wakubwa zangu walobahatika kwenda mambele japo nilibahatika kwenda uko lakini nilikuwa 15 kutembea na ma mdogo tu na sikutilia maanani izo ishu. Kwahiyo wakubwa zangu naombeni kwasababu najua humu kuna watu washawai experience na kuzaa nao kabisa.

NB: Sio kwamba sina mapenzi na dada zetu wa kiafrika ninao upendo wa kutosha ila tu kila mtu ana goals zake na io ni moja wapo ya goals zangu.

Naruhusu negative na positive pia. NAWASILISHA 🙌
 
Back
Top Bottom