naombeni kuuliza, hii ni nini hasa??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Misosi, Apr 2, 2011.

 1. M

  Misosi Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Habarii wana JF. Naombeni wajuzi wa mambo mnijuze ktk hili na nifanye nini hasa niweze kuondokana na hizi ndoto. Ni hivi, mimi ni mwanamume wa miaka 31, toka mwaka 2008 nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na kaka yangu (yaani ananiingilia kinyume na maumb.......l), hali hii ilikuwa inaniudhi sana! na kipindi hicho nilikuwa nikiota nastuka usingizini. hali ikaendelea na sijui ilikuwaje nikaanza kuzizoea hizo ndoto na hata kufurahia hilo tendo. Ajabu ni kuwa kila nikiota namuota ni kaka yangu ndiye ananiingilia (kaka wa tumbo moja na tupo wawili tu ktk uzao). Niandikapo sasa hivi nimetoka kuota ndoto hii na nilikuwa nahisi raha na kufurahia SIJUI NI NINI KINACHOENDELEA KTK MWILI WANGU. Baada ya kustuka toka ndotoni nimejaribu kujiingizia kidole cha kati sehemu zangu za nyuma kimeingia bila shida!!! nikajaribu kujipaka vaceline na kuingiza vidole vyote vinne vimeingia bila shida pia na bila maumivu!!! WANAJAMII HIKI SI KISA CHA KUTUNGA, NAHITAJI MSAADA WENU WA MAWAZO NI NINI HII?? NA NIFANYAJE NITOKANE NA HII HALI??. TAFADHARI KAMA WAONA HUNA MSAADA WA MAWAZO NAOMBA USITOE KASHFA. Afya yangu pia inadhoofu sana. Ahsanteni
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  jini mahaba.
  msikitin au kansani is best for u.
  kaombewe yataisha
  uyo jini mahaba anakuja kwa sura ya kakako
  KAOMBEWE KAKA.
  POLE ennh!
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Hilo ni pepo baya sana. Anza kufanya ibada za nguvu.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha kanisani wala msikitini
  We ni ******, kujiingiza vidole vinne kwa vaseline maana yake nini?
  **** kweli.
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Rose mbna bwn haruc nmekutana nae huku? Mwambie Kakobe keshafka yeye ndo anasubriwa!
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  asi alikuwa anajifanyia xpermnt?
  dzain anatangaza biashara manake anavyosisitza ...nilisikia raha kweli kweli....pole lakin


  habari yake bgrta banaaaaaaa achana na mavsilne na maveseline....niaje babu\/
  kesho kuja bas pande i jaman
  utakuja?
  ebu nichek kwa cm kdg tutete nina neno nawe......usiku u kaka...afu NINA SHDA NAWE...dah una bahat...!!!!!!
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole ndg yng! Umenfanya npatwe na majonz! Bt Y uanze kujitia tn vdole? Jitahd uende either kanisan or mckikitin ukaombewe cz hiyo hal co nzr! Fanya harka kaka!
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  hahah hahha umenichekesha
  bwna harusi mwenyewe uyo mmhh nina wasi wasi km atumii vaseline na yeye!!!!!!!
   
 9. M

  Misosi Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru dada kwa ushauri. Lakini huyu jini mahaba ni nani hasa?? na anakujaje kwa mtu? mimi ni Mkristo na sijawahi na sina ushabiki wowote na mambo ya majini!!! kwa nini aje kwangu?
   
 10. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,390
  Likes Received: 3,520
  Trophy Points: 280
  Njoo loliondo unywe kikombe!
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mbona kaz nnayo? Ngas2ka mwambie acje tn! Mambo gn ya vaseln? Wenzao twapaka mwiln wnyewe wanaichakachua kvngne?? Daaah huyu mkaka ameniacha na Question Mark kibao! Y ajipake vaseline then ajitie mavidole??? Co kamchezo kwel haka??? Icjekuwa jamaa anafnya Promo kimtndo ati!!
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Misosi! Pole sana kwa maswahibu yanayo kukuta...! Nakuuliza jambo moja, je unalala na kaka yako chumba au kitanda kimoja? Kama jibu ni ndio Basi nakushauri jambo moja, ukienda kulala na ukaota tena basi jiangalie uko nyuma kama hakuna manii ulio achiwa kama ukikuta kumeharibika basi hakuna mwingine ila ni huyo unaye lala naye kitanda au chumba kimoja... Nachelea kuwa anaweza kuwa anatumia dawa za kukufanya ulale na usiamke mpaka anapomaliza haja zake.

  Basi fanya hivyo kwanza kabla sijaja na ushauri mwingine.
   
 13. M

  Misosi Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru mkuu! samahani kama nimekukwaza kwa hilo. Ki ukweli siko hivyo ni sbb ya hizi ndoto nilitaka kujua ni nini hasa. lakini hebu jaribu kufikiria ungekuwa ni wewe katika hali hii ya hizi ndoto ungefanyaje? bado nahitaji msaada wako wa mawazo.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  nenda kansani kamwambie mchungaji au padr atakusaidia

  lakin unatia mashaka apo pa KUJIIINGIZA VDOLE MWENYEWE ET KABSA UMECHUKUA MAFUTA......DZAIN UNAPENDA AKA KAMCHEZO

  nenda hosptali
  nenda maombi
  na si kila kitu cha kuxperment iv kweli km ungekuwa hauna swaga za kisenge ungejiwekea mafuta na kujiingza madole ma4?km kweli ungekua unachukia?

  sjui lakijn
  ukweli we unaowewe
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yan we hata uctake kujua yote hayo cz hayatakusaidia k2! Fanya 2 uwahi kwnye maombi! Kw nn kaja kwko ni story nyngne! 2kuulze ww kw nn ufwatwe na majin?
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ata mi kdg niwaze kama ivo

  io nguvu ya kujipaka mafuta km angekuwa nachukia kwel angejipaka?
  sjui lakin bt he z sound like.........
   
 17. M

  Misosi Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Mkuu nashukuru kwa ushauri ila kwa kweli toka nianzeota ndoto hizi huwa nakuwa nimelala pekeyangu. kiufupi ni kwamba silali naye kitanda kimoja na tupo mikoa tofauti!
   
 18. M

  Misosi Member

  #18
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Si hivyo ndugu zanguni! naomba mjaribu kunielewa. HAKIKA SI HIVYO MNAVYOFIKIRIA.
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,762
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  mmh,kwa kweli inashangaza,kama alivyosema x paster,isije ikawa sio ndoto,bali ni matukio ya kweli ila unalazwa kwa madawa.maana na vidole unaingiza vinaingia vyote
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Dah! Comment yangu imekaa kikashfakashfa. Ngoja ninyamaze.
   
Loading...