naombeni kujuzwa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni kujuzwa.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stevoh, Aug 27, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ni vigezo gani moderators wanatumia kunibania baadhi ya posts.??????
  Nawasilisha.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,663
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi hebu nisaidieni hapa nimepokea ujumbe huu muda si mrefu nimeshindwa kujua kama ni matapeli au vp'kwa sababu sijashiriki bahati nasibu yeyote

  MOI
  YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON 1,000,000 POUNDS FROM BLACKBERRY UK,KINDLY CONTACT DR GEORGE IMMEDIATELY ON bbuklive@w.cn TO REDEEM

  Mwezi july nlipokea msg kama hiyo hii hapa chini ila sijaijibu chochote


  YOU GSM NUMBER HAS WON 1,000,000 GBP IN ESPN STAR CRICKET 2012,FOR CLAIM,SEND YOUR NAME,ADDRESS,MOBILE NUMBER,AGE,TO US VIA EMAIL: espnoffice@espncrickets.com

  Hebu wataalam wa mambo hayo nijuzeni
  NB: sipo Tz naishi Middle east   
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hubby mzima wewe leo?? mbona sikusomi??
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hv Asprin leo umekuwaje? mamîe cacico mbna leo mumeo anajichanganya hv umemfanyani??????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  ushachanganya desa...hii post si umeiweka kwenye ule uzi mwingine, naona uzee unakupa tabu Asprin
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,663
  Trophy Points: 280
  Kuna ujumbe kama huo nlipokea mwaka jana toka kwa jamaa wanajifanya maajenti wa BMW kwa sababu mimi ni mpenzi sana wa BMW nlitaka kuingia mkenge walinipa namba nikawapigia namba ni ya UK mwisho nikastuka


   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,663
  Trophy Points: 280
  Dah ukiwa na tamaa mara moja wanakuliza hawa jamaa' lakini je hawa jamaa wanashirikiana na makampuni ya simu? Kwa sababu msg wameonitumia leo haina namba ila imeandikwa MOI sijaelewa ni kampuni au nini?
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuhakiki lugha uliyoitumia, maudhui, vilevile jukwaa ulilotuma habari(huwa nyuzi zikiwekwa jukwaa tofauti zahamishwa), pia habari isiyo na ukweli huwa inapigwa chini
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,663
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya leo hata kidhungu hakijakaa vizuri yaani, YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON. Kwa tafsiri, hii inamaana kuna mtu ameshinda namba yako ya simu. Inamaana namba yako ya simu ya mkononi ilishindanishwa bila wewe kujua na sasa mshindi, anayepaswa kukabidhiwa namba yako ya simu ya mkononi, amepatikana. Kazi yaki sasa ni kumpatia namba yako mshindi wa namba yako. In other wordss, namba hiyo siyo yako tena na umpe aliyeishinda. Pole kwa attempt la kutapeliwa


   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  ooh! mkuu Aspirin, hebu check mahali unapotuma hizi post...sijui wapi unapokosea naona waendeleza story ya Ngongoseke..hili jukwaa jingine huku
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,663
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa Chamacha Demokrasia na Maendeleo - Sunday, 26 August 2012

  inabidi CCM mufundishwe nini maana ya kufurika kama hao watu walioukuja kula vitumbua kwenye ukumbi wa kuchukua watu 50 wamefurika na hao hapo kwenye mkutano wa slaa ambapo hakuna vitumbua, mahandazi, hakuna a/c wala kivuli wakipigwa na jua kali utasema wamefurika au vipi ?? labda mmekaa sana usa mmesahahu maana ya neno kufurika . chadema oyee kaeni na vitumbua na maandazi yenu sisi na Tanzania yetu na chadema yetu.
   
 12. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Post nimeikuta jukwaa la elimu lakini nikifungua naambiwa i don't have permission
   
Loading...